Search results

  1. J

    Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

    hawa ndio wanatudhulumu sisi watoto wa maskini tukisema tunaambiwa ohhhh bas nyie kila wakati mwalalama tuuuuu suti dola elf 10 sasa huyu atakuwa kweli hana akaunti uswisi kweli?
  2. J

    Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

    Hivi huyu angekuwa Muislam ingekuwaje? Halafu kwa nini kuna watu hawataki kutuambia Mahusiano yake na waziri Janeth Mbene? Nahisi kama vile wa Ghala wanafanya jitihada za ziada kumsafisha mtu wao lakini hasafishiki. Iweje balozi na maofisa wa balozi zetu nchini Burundi na Comoros na Malaysia...
  3. J

    Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

    fARAJA kOTA MUST BE PROUD...
  4. J

    Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

    mimi nilikuwa simjui sasa nishamjua. Hatufai inawezekana vipi balozi wa Tanzania avae suti ya dola elfu 10 na watu wanaona sawa? Hafai huyu. Bora adam Malima
  5. J

    Rahma Al Kharous kwenye Siasa za Tanzania

    mngesubiri tukaftari kwanza jamani mbona mnafanya visa nyie watu?
  6. J

    Tanzania, Beware of MONSATO and foreign Agro business conglomerates!

    serikali imejibu vipi hizi tuhuma?
  7. J

    Jengo la ghorofa zaidi ya 12 laanguka jijini Dar

    Waokoaji wakiwa kazini na silaha zao
  8. J

    Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya!

    Membe naona anapoteza muda tuu ya nini kuwapeleka Maadui zake Kenya wakati kisiwa cha ukerewe kipo?
  9. J

    Mhe. Rais Kikwete na ziara ya Mabwepande

    Mwanzo ooooh hatumtambui...leo ohhh karibu mheshimiwa utufungulie mradi hawa watu hawajaingia serikalini hawaishi kufanya U Turn, wakiingia je?
  10. J

    Mhe. Rais Kikwete na ziara ya Mabwepande

    tena kwa kuonyoshea kuwa hayuko pamoja na wenzake kaamua kuvaa sare kama alivyovaa bosi.
  11. J

    Mhe. Rais Kikwete na ziara ya Mabwepande

    Napenda kuwajulisha kuwa kichwa cha habari original kilikuwa: JJ MNYIKA ANAVYOJICHEKESHA KWA JK Ama kweli CHADEMA mna kazi TENA NZITO.....halafu mnatafuta mchawi wenu ni nani wakati wasaliti mnao kibao chamani kama huyu JJ MNYIKA. Huyu Mnyika na DEDI yao kule CHADEMA walitamka wazi kuwa...
  12. J

    Membe kuwania urais 2015...

    kila mtu anayo haki ya kugombea urais. Hata mimi nataka nigombee urais wa mtaani kwangu
  13. J

    Kampuni iliyomng’oa waziri yapigwa stop, Mwakiembe VS Nundu?

    Only in Tanzania Waziri aliyepiga vita rushwa (NUNDU) alifukuzwa kazi kisa ali go public na taarifa za kuhusu naibu wake. zaidi ya hayo hakuna sheria hata moja aliyevunja. sana sana utaambiwa ohhh asingeenda public na kuhusu naibu wake sasa nadhani mnaelewa kwa nini tunataka katiba mpya kama...
  14. J

    Chikawe aikabili M4C kwa kugawa sanda Misikitini Nachingwea!

    Wananchi wa wilaya ya nachingwea wamesema hawana imani tena na chama cha mapinduzi kufuatia kitendo cha mbunge wa jimbo hlo Bwana Mathis Meinrad Chikawe kupeleka sanda za kuwazika wananchi hao "walisikika wakihoji hyo ndyo hatima yetu baada ya kupigwa na nyundo miaka 50 na kuchimbiwa kaburi...
  15. J

    VIDEO: JM Kikwete ndani ya BBC Swahili Tv

    Mimi naomba kuuliza swali labda mnaweza kunitoa ushamba Kwa nini TV za nje zinakuwa ni clear kuliko za Tanzania? Mmeona hapo wakati anahojiwa JK picture quality ya STAR TV ilikuwa terrible itafkiri TVZ ya 1980's lakini once walipounganika na BBC London picha ikawa clear zaidi. Najua mtakuja...
  16. J

    Rada kuu ya Tanzania ni mbovu.

    Eti kampuni ya BAE SYSTEMS ''imeanza mchakato'' Hivi kuagiza hiyo power supply ( kama kweli ndio iliyoharibika) toka UK kuja hapa Dar inachukua muda gani? na kwa nini hawakununua power supply ambayo ingekaa stand by? waziri husika naye kimya.
  17. J

    e-mail ya balozi wa Tanzania Ufaransa yaibiwa

    this should be interesting' naomba link Le Mutuz is slowly becoming my favourite na hasa hiyo I dont give a F attitude yake mtamchukia wee yeye wala hata habari hana
Back
Top Bottom