Haya mamuafaka ya kipuuzi ndiyo yameliangamiza bara la Afrika. Hakuna muafaka baada ya kupindisha sheria na kanuni za kuendesha uchaguzi. Walioweka hizi sheria walitaka mchezo bora safi, hii miafaka inataka kubariki michezo michafu katika chaguzi za bara hili la Afrika.
Mheshimiwa Godbless...
Kufuatia kujiuzulu ubunge kwa Rostam Aziz, ni wakati muafaka kuelekeza nguvu zetu kuhakikisha kwamba Rostam anafikishwa mahakamani ili akajibu tuhuma zinazomkabili za kuhujumu uchumi wa nchi yetu. Na ni lazima kuhakikisha kuwa kipindi hiki mkurugenzi wa mashitaka ya jinai (DPP) Eliezer Feleshi...
CCM hawana jipya, wako hoi. wameishiwa mbinu zote. wote ni mafisadi, kuanzia rais mpaka balozi wa nyumba kumi. ccm iliwatenga vijana ili waitafune nchi peke yao, hatuwezi kuwasamehe hiyo dhambi, vijana wanapaswa kufany mapinduzi, wajitwalie nchi yao. tusikubali tena hadaa za ccm.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.