Search results

  1. J

    Another Joomla Training at COSTECH

    mkuu.when is this,is this free?
  2. J

    Playstation 2,ipad 2 & case & keyboard,wireless router for sale

    hI, niko nauza 1. playstation 2,1 console,used for 2 months,2 games,bought from mlimani city-bei 200,000 2.Ipad 2,16gb,white,black case,bluetooth keyboard,wireless router for internet connection,no 3g bei 400,000, delivery to be done at your doorstep.maelewano yapo for serious buyers pm me
  3. J

    Kwa hili la NSSF na mifuko ya jamii serikali imechemsha

    ishu kubwa ambayo nimeiona ni tatizo. Ulipwaji wake ni wa utata,iwapo mashirika uliyofanyia kazi yamekufa. Inflation say for 20 yrs ,thamani ya hela yetu inashuka kila leo Life expectancy ni 55 yrs,ni wangapi wanafika huko. kwa nini iwe ni lazima kujiunga. Kwa wanaoacha kazi kuwa wajasiriamali...
  4. J

    Playstation 2 ,IPAD 2 for sale

    my phone is 0719256666
  5. J

    Playstation 2 ,IPAD 2 for sale

    Hapana@ndibalema
  6. J

    Playstation 2 ,IPAD 2 for sale

    Habari wakuu, Niko nauza playstation 2,used for 2 months,iko na cds 2 za games -bei 250. pia nauza ipad 2 white ,without 3g,iko na wireless router which can be hooked with any chip,bluetooth keyboard,black case,loats of programs already loaded-bei laki 4 for serious buyers please pm me.
  7. J

    Cartoon Animation Project

    Thanks ,ntapita pale mkuu
  8. J

    Cartoon Animation Project

    Habarini wadau, napenda sana kufanya project ya kufanya cartoon animation ,idea yangu ni kuchukua visa vyote ambavyo tunavifahamu kuanzia tukiwa watoto na kufanya cartoon animation project(sani,katuni za magazetini etc). Naombeni mawazo jinsi gani naweza kuanza,nitahitaji watu wa namna...
  9. J

    Ipad 2 & case & keyboard,wireless router for sale

    Wakuu, Poleni na shughuli za ujenzi wa taifa, Niko na IPAd 2 iko sokoni,used for 2 months,imported straight from us. Specs,16gb,No 3g ,Leather case & Bluetooth Keyboard Iko pamoja na vifaa vingine nimeambatanisha,i.e wireless router-hii unaweza ukaweka chip yeyote na ukapata internet,na ni...
  10. J

    Singida: Hakuna tofauti ya jambazi na polisi

    mkuu,hii taarifa unaitoa kama vile kila mtu anaij ua,ungeanza kuelezea tukio kwa mpangilio ili watu wakuelewe vema
  11. J

    Ratiba ya mgao wa umeme Tz

    nafikiri hata mungu hapa ametuachia tuamue,ameshatupa green light siku nyingi,ni sisi tu hatuondoki
  12. J

    Upinzani wawajibu chama Tawala.. ni lile sakata la Nape kudai amekuta nyaraka za Siri

    may GOD almighty forgive him,very sad kuwa na watu kama hawa
  13. J

    Sayansi yafanya mambo yake tena!!! Mungu yuko wapi?

    kiranga ukitaka kumjua mungu nakushauri usome biblia,esp mungu ninayemjua ni mungu,wengine tunasema ni miungu,huwezi kuprove kama yupo kwa kumwambia akuuwe hapa,hapa najua ni ngumu kukuelewesha wewe mpagani
  14. J

    Sayansi yafanya mambo yake tena!!! Mungu yuko wapi?

    kiranga ukitaka kumjua mungu nakushauri usome biblia,esp mungu ninayemjua ni mungu,wengine tunasema ni miungu,huwezi kuprove kama yupo kwa kumwambia akuuwe hapa,hapa najua ni ngumu kukuelewesha wewe mpagani
  15. J

    Sayansi yafanya mambo yake tena!!! Mungu yuko wapi?

    sasa kwa imani yetu na vitabu vyetu,shetani au ibilisi alikua ni malaika ,lakini aliasi kwasababu n a yeye alitaka awe kama mungu,so based na imani yetu,ni obvius mungu yupo.ukitaka facts naweza kukuelezea vitu nilivyoomba kwa mungu na vikawa kweli
  16. J

    Sayansi yafanya mambo yake tena!!! Mungu yuko wapi?

    i can have my own definition of GOD,ni obvious kuna 2 opposing sides,one is believed to be satan,the other one is god,ndio maana waganga wako tofauti na watu wa dini,wachawi na watu wa dini,
  17. J

    Sayansi yafanya mambo yake tena!!! Mungu yuko wapi?

    it is simple,mungu aliruhusu tumjaribu kwa kutoa zaka,sasa wewe toa zaka then utaprove kama yupo,mie sina shaka yupo na amejibu maombi yangu mengi,na kila ninalomuomba huwa anajibu intime,hapa sihitaji kukulazimisha uamini,
  18. J

    Sayansi yafanya mambo yake tena!!! Mungu yuko wapi?

    huo mfano si sawa,umepewa uwezo wa kuepuka hivi vishawishi kama ukimpokea yesu,na hata ukikosea mungu ni mwenye upendo,atapenda umrudiee na uombe msamaha
  19. J

    Sayansi yafanya mambo yake tena!!! Mungu yuko wapi?

    we jamaa,narudia tena,amemuacha ili wewe mwenyewe uamue,lakini hajakuacha hivi hivi,kwa kufa kwa yesu pale msalabani,umepewa uwezo wa kuongea na mungu,na kutubu,na kumrudia mungu,zamani ungelazimika kutoa kafara ili usamehewe,hii ni kwa imani yetu wakristo,sio lazima na wewe uamini hivo
  20. J

    Sayansi yafanya mambo yake tena!!! Mungu yuko wapi?

    ujue mungu kwasababu ya upendo wake amekuachia aumue either uende kwake au kwa shetani,shetani amepewa ushawishi tu ila kimsingi nguvu mwanadamu aliyenayo ni kubwa sana ,unaweza kuyakemea haya mashetani,mungu angemuondoa shetani angeonekana ni mbabe na shetani lazima angesema si mnaona huyu...
Back
Top Bottom