Search results

  1. stezu

    Vijana wanaopendwa kutunzwa na Mimama

    Jimama Si atafute angalau wanaoendana kiumri jamani inasikitisha sana unakuta mtu yuko na limama la kumzaa dah sasa mama yake nyumbani sijui anamtazamaje akitoka ku-ku-ku-ruka nalo?
  2. stezu

    Jamani wherever you are lolyz anakushukuru!

    who cares si ndio mume wako au?kwahiyo anacare sasa?
  3. stezu

    Kwanini??????

    Bujibuji mbona umeulizia vitu vinne lakini swali la mwisho ndio limeibua mjadala???NAJIULIZA
  4. stezu

    Special for Parents

    Naomba niingilie jamani mimi naona lugha iliyotumika inakupiga chenga bana lolyzz hebu mtafasirie fesbukkkkkkkkkkkk hajaambulia chochote Wewe hiyo jina yako hujacop + paste?ni heri mtu anayecopy vitu vya msingi vya kusaidia jamii kuliko wewe hutoi hoja ya msingi kazi kote unasema hayohayo kule...
  5. stezu

    Special for Parents

    lolyz...dont give up this post is so useful please post as much as you can ...2gether
  6. stezu

    8 Ways To Create Quality Time With Your Kids

    Kweli kabisa na hao si wale waliopatwa humu MMU?i
  7. stezu

    Vasectomy inataka kuleta balaa!

    Evry bad situation will have something positive.....even a stopped clock shows correct time twice a day....
  8. stezu

    Natafuta shule au shirika la kuwakodishia isuzu journey!

    Asanteni mkuu Lat/ Chatu dume nipo Dar - ntaufanyia kazi ushauri wenu,ila sina mtu wa karibu anayefanya biashara ya daladala, hivi kwa gharama za diesel siku hizi hesabu imefika ngapi kwa siku? kwa aliyeko kwenye indusry hii naomba asaidie nipate mwongozo.
  9. stezu

    Natafuta shule au shirika la kuwakodishia isuzu journey!

    WanaJf nimebarikiwa kununua minibus aina ya Isuzu Journey imesajiliwa,full ac,radio unaweza pia kutumia flash,ipo kwenye hali nzuri nilitaka kuifanya daladala ila naona ntasumbuana na madereva,tafadhali kama kuna ambaye ana hitaji hilo naomba anijulishe.
  10. stezu

    What's Politics?

    daah imetulia na inaleta maana.
  11. stezu

    soma unisaidie (vichwa tuu)

    Hivi hizo slogan hasa ni za kuuzia sura au inatakiwa iwe na uhalisia wa maisha ya huyu mlipa kodi? na ina maana taasisi nzima hawajui kodi zetu zinatumikaje hadi watafute slogan za kununua? kweli hii inathibitisha kodi zetu ni mradi wa vigogo!
  12. stezu

    Sala ya Usiku.

    Haa haaaaa dogo hajui kila mtu atabeba msalaba wake? Inabidi afanyiwe maombi!
  13. stezu

    Mahusiano na Wakwe/Mawifi Nini kifanyike?

    King'asti umenigusa -Ki ukweli nakubaliana nawewei ila jamani mi naona mawifi na wakwe hawatakiwi kukaa karibu kwa muda mrefu hapo heshima na upendo vitabakia kwa pande zote,binafsi nina mawifi na wakwe ambao ni understanding ila bwana nilijuta pale nilipomkaribisha wifi yangu sehemu...
Back
Top Bottom