Search results

  1. Untwa

    Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    Aisee kweli Dunia haiishi majungu na fitna pole mtoa post
  2. Untwa

    Kikao gani kiliamua Nyerere awe 'Baba wa Taifa'?

    Kuwa baba kuna hitaji kikao?
  3. Untwa

    Tuntemeke Mesaka Nnnung'wa Sanga na Hoja ya Muungano mwaka 1993

    Hayati Tuntemeke Sanga alipata kuwa mtu maarufu sana katika Bunge enzi za uhai wake. Miongoni mwa hoja zilizokuwa na mashiko ni za kutaka Muungano uvunjwe badala yake Burundi na Rwanda zitwaliwe na Tanganyika. Katika mawazo haya yenye kukinzana moja linaweza kuwa halisi siku si nyingi...
  4. Untwa

    Rufaa ya Lema Arusha: Kesi yaahirishwa hadi Oktoba 2, 2012

    Yote tu mkuu walitakiwa waseme shida iko wapi wanapigapiga kalenda tu
  5. Untwa

    Rufaa ya Lema Arusha: Kesi yaahirishwa hadi Oktoba 2, 2012

    Kesi ya Lema imesogezwa mbele sasa kuamliwa tarehe 2 October
  6. Untwa

    Huu ni baadhi tu ya ufisadi mkubwa ndani ya CHADEMA; ni kuhusu mamilioni ya Sabodo

    Watu nyie wapuuzi kabisa kuiba muibe nyie kashfa mwatupie wengine
  7. Untwa

    MwanaHalisi yamshambulia Sitta

    Huu dhahiri ni ujuha na Upuuzi wa mwandishi wa thread kwa hiyo unataka watu wasisalimiane!!!!!
  8. Untwa

    Haya tuseme nchi imechukuliwa na Upinzani!

    Inataka moyo,
  9. Untwa

    Haya tuseme nchi imechukuliwa na Upinzani!

    Tuseme nchi imechukuliwa na chama makini cha upinzani, unadhani katika kipindi cha kwanza cha Rais mteule nchi itakuwa katika hali gani kisiasa na kijamii?
  10. Untwa

    Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    Nimesoma mengi sana nimebaini kwamba wachangiaji wengi wanafuata upepo na hili ni tatizo, Binafsi nampongeza kijana huyu kwa kazi nzuri anayoendelea nayo na kama serikali inataka tuendelee kuiamini angalau kwa miaka mitatu iliyobakia wasimbadilishie kitengo huyu Mkurugenzi. Let him finish his...
  11. Untwa

    Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

    CCM she***i type na kuwalisha sumu wananchi lakini mwisho wa siku ujumbe umefika kifo kinawakaribia
  12. Untwa

    Udini waingilia Rasmi kampeni Igunga

    Soon dini kitakuwa chanzo cha vurugu nchi hii, hebu tusubiri na tuone
  13. Untwa

    Vijana wa Tanzania wanawaza Fiesta - Samwel Sitta

    All what he said was the truth
  14. Untwa

    Soma hapa: Ujue kwamba nchi imepigwa bei

    Bado kidoogo tutaanza kuuzwa sisi watanzania kwa mwendo huu du!
  15. Untwa

    Soma hapa: Ujue kwamba nchi imepigwa bei

    Mkuu inasemekana bei ni shilingi 200 kwa ekari moja, lakini haijabainika kama bei hiyo ni kwa mwaka au kwa kipindi gani na kwamba serikali za vijiji jirani zitaambulia shilingi miatano
  16. Untwa

    Soma hapa: Ujue kwamba nchi imepigwa bei

    Kazi tunayo watanzania
  17. Untwa

    Soma hapa: Ujue kwamba nchi imepigwa bei

    [FONT=courier new][SIZE=4][COLOR=#0000CD]
  18. Untwa

    Soma hapa: Ujue kwamba nchi imepigwa bei

    Usiogope Moses baada ya miaka hiyo wewe na wanao mtakuwa mnapewa ardhi huko mbinguni, kiufupi hutakuwepo acha watu wafaidi maisha ni mafupi bhana
  19. Untwa

    Arusha ngumu kwa Nape

    Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Nape ameahirisha ghafla ziara yake ya Arusha na kuamua kurudi Dodoma
  20. Untwa

    Nape kutikisa Arusha/Moshi Jumamosi wiki hii

    Afadhali kama umenielwa mkuu, wako wanaodhani Nape anafanya kazi nzuri kwa taifa lakini kimsingi hata ndani ya chama anafanya kazi kwa niaba ya kambi moja, ipo siku atajuta kuzaliwa siku anaowafanyia kazi watakapoachia uasukani, sijui atakimbilia wapi. Bifu lake na EL ni la tangu enzi za...
Back
Top Bottom