Search results

  1. Kibanga Ampiga Mkoloni

    Dkt. Slaa: CHADEMA walimteka mtu wao, wakamtesa, wakamtupa, mimi nikajua watekaji ni Usalama wa Taifa

    Kuna mtu asiye jua kuhusu UNUNIO ? yani utekwe Temeke ukatupwe Ununio? si wakupeleke yombo huko.
  2. Kibanga Ampiga Mkoloni

    Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

    Pumbavu huyu atulie dawa iingie. Au kama vipi akimbilie marekani ajue ni kwanini ..
  3. Kibanga Ampiga Mkoloni

    Kwanini Mbowe aligaragazwa vibaya kiasi kile na Lipumba Uchaguzi wa 2005?

    2000 chadema waliunga mkono cuf. 2005 cuf wakakataa kuinfa mkono chadema, na kumbuka kura za Uraisi ndio zilikuwa zinaleta ruzuku. Na chedema mtei na makani waliutaka wote uraisi chama kikapasuka. Wazee wakamua bwamdogo mbowe agombee ili kurudisha amani chamani. So readon hapo ni:- 1. Ugeni wa...
  4. Kibanga Ampiga Mkoloni

    Somo kutoka Urusi: Ili Taifa lipate mafanikio lazima kuwe na "consistency" kwa viongozi wa wandamizi na nguli

    Punguz kusoma na kusikiliz propaganda za west. Tafuta habari, soma utajua ukweli ni upi. Eti russia ilikuwa aichukue ukrain kwa siku mbili tatu, umesikia wapi ujinga huu? By way wanasema leo na jana walitishia mbwa kiev kapital ili jamaa wakomae kule, kaxi iee rahisi huko donbas, na...
  5. Kibanga Ampiga Mkoloni

    Somo kutoka Urusi: Ili Taifa lipate mafanikio lazima kuwe na "consistency" kwa viongozi wa wandamizi na nguli

    Umeniangusha kwa kumsahahu waziri wa mambo ya nje na yulr binti secretary wake.
  6. Kibanga Ampiga Mkoloni

    Ripoti CAG: Hesabu za TANESCO ni safi kabisa!

    Unategemea nini pale mama anapompkngeza CAG kwa kupunguza hati Chafu? Hivi KPI ya CAG ni ipi?
  7. Kibanga Ampiga Mkoloni

    Bei ya mafuta imefika 105 USD kwa pipa. Tanzania tutafute mafuta yetu, kuna siku tutalia na kusaga meno

    Usichokijua ni kuwa hata tukipata yetu, kwa kuwa ni ya mzungu tukishauza vitalu, tutsyanunua kwa bei ya duniani tu.
  8. Kibanga Ampiga Mkoloni

    Bei ya mafuta ya petroli, dizeli toka Urusi sasa ni $30 kwa pipa. China na India wachangamkia fursa. Kwanini Tanzania isifanye hivyo pia?

    Ukute aNanunua hukohuko then wanakuja kutuxia bei ya dubiani. By the way USA mwenyewe ananunya gas kinyakinya huko then znawauxia Europe wajinga kwa bei ya soko.
  9. Kibanga Ampiga Mkoloni

    Wanaomtetea Mrusi dhidi ya uvamizi wake nchini Ukraine, Someni hii

    Akili yako na Zelensky axiba tifauti. Na mtoto mkaifi afaidi. Endeleeni kushupaza shingo. Mtakosa yote.
  10. Kibanga Ampiga Mkoloni

    Kamati ya Bunge yabaini Mwendokasi wanajiendesha kwa hasara

    Pumbavu vvip ya nini,hio niia tulikuwa tunapita kwa 400 tu leo nauli 600 wanashindwa nini?
  11. Kibanga Ampiga Mkoloni

    Tetesi: Kuna uwezekano wa DPP Kufuta kesi ya Mbowe na wenzake Leo

    Alishaahidi, tutaendelea tulipo ishia. Kongamano la katiba Mwanza.
  12. Kibanga Ampiga Mkoloni

    Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

    Nazi germany wakijenga barabara au reli kwa wingi?
  13. Kibanga Ampiga Mkoloni

    Katambi amepotoka, anahitaji toba

    Ombacradhi na wewe
Back
Top Bottom