Search results

  1. MWAGONA

    Joining Instructions Kidato cha Tano 2015, malipo na mahitaji ya shule

    kaka naomba namba yako mimi napatikana watsap 0754879910 join instruction ya ifunda
  2. MWAGONA

    Walimu walioanza kazi mwaka 2011 Januari, kupanda madaraja lini?

    haaaa wewwe wa wapi degree na deploma tumeajiriwa febuary 2011 wewe wa wapi sisis ndi w aanga wa kipindi hicho
  3. MWAGONA

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    akiwa kwenye muhasara maeneo ya uwanja wa ndege mjini hapa amepigwa risas ya kifua na sasa amepelekwa hospital ya mkoa hapa morogoro
  4. MWAGONA

    Magwanda ya CHADEMA yaundiwa zengwe UDOM

    Unajua kuhusu ile nembo ya ccm pale chimwaga enzi hizo wale wanafunzi wa kwanzawalioanzisha kile chuo kulikuwa na zegwe kubwa kati ya management na wanachuo ambao wanachuo walidai ile nembo ya magamba ina wachefua hivyo wanaomba itolewe but vce chancellor wao kikula aliwaambia kuwa ile nembo...
  5. MWAGONA

    Mpenzi wangu hataki jina nililompa mtotowangu wakiume

    jina lililo kataliwa ni jina la BILLY na ndilo lililo andikishwa siku ya kuzaliwa
  6. MWAGONA

    Mpenzi wangu hataki jina nililompa mtotowangu wakiume

    hilo ndo jina haswa nililo mpatia mimi na tulikubaliana hata kabla may baby boy hajazaliwa but mwenzangu baada ya siku mbil ana niambia kuwa yeye atamuita mtoto jina lengine na kwa kifupi tumefikia hatua ambayo siyo coz ya hayo mambo mbaya zaidi ilikuwa tukikosaana anasema kuwa anaenda...
  7. MWAGONA

    Mpenzi wangu hataki jina nililompa mtotowangu wakiume

    kwa kifupi mkuu nime kuelewa but DNA sina wasiwasi na mtoto coz mtoto hamna mtu anaye weza kubisha kama siyo wa kwangu amefanana saaana na mimi
  8. MWAGONA

    Mpenzi wangu hataki jina nililompa mtotowangu wakiume

    mtoto wa kiume jina nilililo mpatia mimi ni ''Billy''
  9. MWAGONA

    Mpenzi wangu hataki jina nililompa mtotowangu wakiume

    Kwa kifupi nimekataa jina hilo la kaka yake coz mimi nikiwa kama baba nilikuwa nishaanda jina la mwanangu na pia tuliaidiana kuwa atapozaliwa wakiume mimi nitampatia jina na jina lenyewe ni zuri siyo yale ya kina mashaka.matatizo shida no.but alikataa but amekubali kuandikisha kwenye cheti pekee...
  10. MWAGONA

    Mpenzi wangu hataki jina nililompa mtotowangu wakiume

    Jamani nisaidieni huyu mwana mke simuelewi sijui ndo usomi mimi na yeye wote tume graduate mwaka jana.mkewangu akiwa na mimba tulielewana kuwa akiwa mtoto wa kike jina amchagulie yeye na akiwa wakiume jina nitampatia mimi.tatizo likaja baada ya mtoto kuzaliwa akazaliwa mtoto wa kiume me nilikuwa...
  11. MWAGONA

    JK na miaka 50 ya UDSM: Nipo hivi nilivyo sababu ya UDSM

    Baba Riz aliingia na tabasamu lakini lilitoweka gafla baada ya kuzomewa na wanafunzi wa UDSM Baba Riz ambaye alikuwa ameambatana na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa pamoja na viongozi wengine wa Serikali...
  12. MWAGONA

    Wanaume na Ndoa mpya za kwenye semina .....!

    Haaa hivi nimesahau nijukwaa gani hili siasa or mapenzi kama ni la mahusiano kwanza ni changie but kama ni siasa hapa siyo mahala pake jamani
  13. MWAGONA

    Mwakyembe mgonjwa afya yake yadorora; ngozi yavimba mwili mzima. Yadaiwa alitegeshewa sumu

    Kijana usikurupuke kuchangia kabla hauja soma thread. Mbona unacho ongea hakina logic kama umesoma maelezo ya watoa taarifa
  14. MWAGONA

    Mwakyembe mgonjwa afya yake yadorora; ngozi yavimba mwili mzima. Yadaiwa alitegeshewa sumu

    Kijana usikurupuke kuchangia kabla hauja soma thread. Mbona unacho ongea hakina logic kama umesoma maelezo ya watoa taarifa
  15. MWAGONA

    Nape: Nchi hii ina wenyewe na wenyewe ni CCM!

    Tuachane na huyu nape anaye fikiri kwa kutumia masauni coz yame mshinda kutoa magamba ameanza kuropoka ropoka hii nchi siyo ya ccm hii ni nchi ya watanzania.aendezake kutoa hayo magamba asituchefue sisi watanzania
  16. MWAGONA

    UDASA Wagomea JAKAYA Kutunukiwa PHD ya HESHIMA

    Kwa kifupi mkandara asiitake kukishusha haadhi zaidi chuo chetu. Kwani huyu jamaaa hastahili kupewa hii phd ya heshima cozi hata kule udom ambapo wakina kikula na mlacha walimpatia phd kwa fadhila walipo kuwa wakitanganza sababu za kumtunuku hana mwanachuo aliye piga makofi kwa maana hiyo hata...
  17. MWAGONA

    Maandamano Rukwa kumlaani Mh Aeshi Risasi Igunga

    japo ya yote ini kwamba kwenye uchaguzi uliofanyika sumbawanga CDM ndio ilikuwa imeshinda chini ya mzee Mwakabonga aliyekuwa mkuu wa shule ya secondari kantalamba lakini magamba wali chakachua fasta hivyo upumbavu ambao alifanya huyo mbuge wa magamba ni hali yake ya ujuha aliyo nayo
  18. MWAGONA

    Ewura kujidai kuisamehe BP wakati huo huo kampuni ya BP imeuza hisa zake zote inaingia akilini?

    INASHANGAZA SAANA KUONA EWURA (Energy Water Utlities Regulatory Authority) kuona kuwa ime ikomesha kampuni ya BP kwa kitendo chake cha kuamua kugomea serikali ombi lake la kupunguza gharama ya bizaa ya mafuta. Lakini cha kushangaza ni EWURA kudai kuwa imeisamehe kampuni hiyo ya BP na kwamba...
  19. MWAGONA

    Upendeleo wa wazi TBC Habari

    hawa jamaaa sisiemu hatima 2015
  20. MWAGONA

    John Mashaka adanganya umma kupitia ITV

    mbona wewe ndio unatudanganya coz wawekezaji wengi tz ni uchwara
Back
Top Bottom