Kwa Habari za uhakika miongoni wawlioonja shubiri ya mabomu ya machozi ni Naibu katibu mkuu CUF Julius Mtatiro.Hivi sasa mabomu yametulia na mkutano unaendelea na Mtatiro yuko jukwaani akihutubia
Hii nchi bwana kila kitu Dar es Salaam kwani Dar kunanini.Af ni hatari sana maana dar ikijakumbwa na janga kubwa basi Tanzania nzima kwisha kazi.Lazima tuutawanye uchumi na vitegemezi vya nchi
Ujinga wa baadhi ya watu wa daraja la 3 kifikra badala ya kujadili hoja na mawazo yanaanza kumjadili mtu.Hivi hapa kwa mtu mwenye akili timamu ni kumjadili Lipumba ama kile alichokisema...Nchi hii bado tunasafari ndeeeef
Hili ni bonge la Tathmini ambalo ni wanazuoni wachache sana hapa nchini wanacapacity ya kufanya uchunguzi wa kina na kulezea jambo kama anavyofanya Prof.Lipumba.
Ki ukweli hapo kwenye RED ni kama utabiri wenye logic ila kwa serikali ya Magamba tutazarau weeeee baadae tutakimbaiana na kutafuta...
Takribani mwezi sasa huku kwetu Ilala kila baada ya siku moja umeme unakatika saa 2 na kurudi saa 10 jioni ama saa 2usiku. Wakati huo huo Tanesco kila siku wanatutangazia eti kuna wizi na hujuma za mitambo ya Tanesco nchi nzima. Cha ajabu Ilala (japo kunamalalamiko na Kinondoni) kila baada ya...
Kumeibuka genge la vibaka na mateja wanaiba vifaa vya magari huku likiwa kwenye mwendo.Wanaiba taa za magari,side mirror,taa,na vifaa vingine pamoja na Urembo wa magari.Hawa jamaa wako fasta sana gari linapoanza kuondoka kutoka mataa ya Buguruni sheli hulikimbilia na kuchomoa..kiukweli...
Nimesikitishwa na Kukasirishwa sana na kiwanda cha wachina Mwanza kuwakagua sehemu za siri akinamama eti kuona kama hawjficha chochote.Mbaya zaidi wanaingiza matambara habari hii imenitoa machozi..Na adhabu wanayostahili hawa wachina ni kuchoma viwanda vyao waondoke hapa nchini kwani najua...
Hivi itakusaidia nini kusikia maneno hayo na manaeno hayaohayo yakamfanya jirani yako aamke saubuhi na kuchoma nyumba yako na familia yako yote.THINK TWICE.Wahariri lazima wawe makini.
Kwa tanzania tatizo hili ni kubwa.Mhariri lazima awe makini sana.Si kila taarifa jamii lazima ijue(public consumption)kutokana na athari zitakzo tokea baadae.
Inasikitisha kwa jinsi tunavyofikiri kwa kuangalia upande mmoja wa shilngi.Nadhani wengi hatuelewi jinsi media inavyofanya kazi na uwezo ilionao kuathiri jamii kwa kurusha hata kipande cha sekunde moja cha taarifa chochezi
Habriya Leo saa mbili usiku
Kwa mujibu wa maadili ya vyombo vya habari hasa wakati huu wa amani tukiwa tumeiweka rehani si sahihi walivyofanya ITV
1.Kumpa airtime kiongozi wa uamshoo kutoa tamko lake la kuipa selikali masaa 26 na kuhamasisha uamsho wenzake kwa lolote litakalotangazwa.
2.Kumpa...
Madhumuni ya Chama cha wananchi CUF kama yalivyo katika Katiba yake ni, "Kuwaunganisha watanzania wakatae uonevu,kudhalilishwa,kunyanyaswa,kubaguliwa au maovu mengine yanayoweza kufanywa dhidi ya heshima ya utu wa binaadama, yawe yanayotendwa na Serikali, kikundi cha watu walio na uwezo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.