Search results

  1. B

    Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

    Pinda anasemaje wamekata umeme hawa kuku
  2. B

    Mkutano wa Pongezi kwa CHADEMA

    Tunaendelea na Mungu
  3. B

    hivi kikwete kamtoa wapi huyu mtu

    Najua ameanza toka kipindi cha hayati mwl nyerere pia akaja kipind cha mzee mwinyi mpaka kwa benjamin mkapa...hamna alichofanya mpaka leo zaidi ya kuropokaropoka tu na kusinzia bungeni.....cha ajabu kikwete na yeye kamleta kwenye serikali yake! Hivi yeye ndo kabeba mikoba ya ccm nini??? Sasa mtu...
  4. B

    Mkapa aomba suluhu kwa Nyerere

    Inshort mkapa ni mropokaji,msiumize vichwa
  5. B

    From Diamond Jubilee: Rais Kikwete aongea na Wazee wa Darisalama!

    Hawa wazee ni wa ccm tu au? Maana wanapga vigelegele hao....hlf kwann kila mara ni wazee tu chukua na vujana hata mara moja mkuu JK
  6. B

    Uzinduzi wa kampeni za CCM Arumeru now...

    Duh e bwana watu wengi balaa hapo naona hamna hata mahali pakunyooshea mkono
  7. B

    Uzinduzi wa kampeni za CCM Arumeru now...

    Hata mi ningekuwepo ningekuja kuburudika na bongo fleva na ukizingatia ubwabwa upo ningebeba na marafiki zangu baada ya hapo chademaaaaaaa
  8. B

    Bado natafakari kauli ya Malima kwamba zile silaha ni mtaji mkubwa wa maisha!

    Hivi huyu jamaa ni mtu wa wapi? Laptop 3 za nn hajui flash disks au extenal hard disks? Tatizo anaona watz wajinga wakat yy ndo mjinga
  9. B

    Kauli mpya ya magufuli inayoweza kuingia kwenye top ten za viongozi

    Aliyasema hayo alipokuwa namanga sema ni muda kidogo kama mwez umeisha......
  10. B

    JK ndani ya mji wa Moshi....

    Ni ziara ya kichama au? Naona watu wamevalia jez za ccm
Back
Top Bottom