Search results

  1. M

    Nani ni chanzo cha ugonvi ktk mapenzi?

    Mara kwa mara wanaume tumekua tukilaumiwa na wanawake kuwa ni chanzo cha vurugu ktk mapenzi na hata ndoa pia. Kwa upande mwingine,wanaume tumekua tukiwashutumu wanawake kuwa ndo waanzilishi wa migogoro ktk mahusiano. Kwa uchunguzi mdogo niloufanya nimegundua kwamba wanaume tulio wengi tunaamin...
  2. M

    Je Gaddafi hakuwahi kuwatendea mabaya walibya?

    Marekani na mawifi zake wamekua wakijaribu kupoteza kila ishara inayoelekea kuwaletea maendeleo watu wa chini ili kuendeleza utegemezi kwake,ni ukweli usiopingika kwamba Gadaf alikua mtetezi pekee aliebaki kwa nchi za kiafrika na Libya kwenyewe. Hatatokea mtu ambae atawafanya walibya waishi...
  3. M

    Rais Kikwete; Watanzania tukukumbuke kwa lipi ulilotufanyia?

    Amekua SHAROBARO wa 1 kuwa rais wa nchi,pia tujivunie kwa hilo.
  4. M

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Mnaowaona wanauana si wajinga na si kweli kwamba ni utamaduni wao. Dhuluma inapozd ni mabadiliko yakashndkana watu huingia barabarani,na kama wewe hutakuwepo ktk kudai mabadiliko hatukushangai kwani mpo wengi msioona mbele
  5. M

    Nyongeza kiduchu mishahara; nani hasa adui wa wafanyakazi?

    Imefika mda wafanyakazi tufanye kazi kulingana na kile tunachokipata,vinginevyo tutakua tunasweat,tunaumia na hakuna anaetujali.
  6. M

    Anataka kunisaidia kupata kazi.....je nimkubalie?

    Kazi kwanza,mambo mengine baadae,ingekua hiyo kazi anatoa yeye ungeachana nayo,kama anaekuajiri sie yeye piga kazi,mkataba wa kazi ndio unaolinda haki zako na sio mtu ambae amekuunganishia.
  7. M

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Mwalimu Nyerere alishawahi kuliona hili na kusema kwamba dhambi ya kutengana haiishi,na itazidi kuwatafuna hadi basi,hao wandugu walitumia rafu kumpeleka mjomba ufukweni mwa bahari kwa kuwazushia wenzao mambo ambayo hata mtoto mdogo asingeyakubali,ni kwa nini sasa jambo kama hilo linapomrudia...
  8. M

    History for secondary schools

    Mi ni mwalimu wa somo la Historia kwa shule za secondary,nina nia ya kusaidia jamii kwa kutoa resources na ushauri ktk somo hili,na kwa bahati mzuri nikiwa katika harakati za kutafuta ni wapi nitafanya kazi hii nimekutana na wana jf wanaohitaji msaada huo. Naomba wadau wa elimu na wa somo la...
  9. M

    Wanawake wapo wengi kuliko wanaume ndio maana

    Ni ukweli usiofichika kwamba idadi ya wanawake duniani ni kubwa kuliko ile ya wanaume,kutokana na jarida la Islamic Research Foundation(IRF) la India lililochapishwa mwaka 2009 lilieleza kwamba nchi ya India pekee ndo ilikua na idadi kubwa ya wanaume ukilinganisha na ya wanawake,nchi nyingi za...
  10. M

    Online History materials- Form 3 au 4- Tanzania secondary school

    HISTORY NOTES FOR FORM 3 Kwa wanafunz wa kdato cha 3 co mbaya kama tungeanza na topic ya 1 ili tupate kwenda kimtiririko. Nimejaribu kuandika kwa ufupi na fasaha ili kuokoa space na mda. Nimeandaa kwa mfumo wa Chapter summaries ambapo itaonekana kama ifuatavyo: 1.Notice kwa ufupi 2.Miaka...
  11. M

    Online History materials- Form 3 au 4- Tanzania secondary school

    Kwa wiki 1 nimekua nikijaribu kujisajili ktk jf bila mafanikio,mi ni mwalimu wa somo la historia shule ya secondary MATIPWILI,BAGAMOYO. Napenda sana kufundisha lkn wanafunz sina(hawapendi shule),nitajitahid kuandika kile nitakachoweza kwa mda ntakaokua nao kwa vile nipo chaka sana ambapo...
Back
Top Bottom