Search results

  1. M

    Waziri Mwingine apata ajali.

    Let's be serious on issues!
  2. M

    Kashfa ya kwanza Richard...

    Mimi simo kabisa. Sishabikii kabisa huu ujinga na mfano mbaya wa malezi na hauendani kabisa na utamaduni wetu. Hebu fikiri fate ya taifa lenye vijana wenye tabia za BBA. Anayebisha na alee watoto wake ki-big brother na aone madudu yatakayoikumba familia na jamii inayomzunguka. Tatizo...
  3. M

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Wale waheshimiwa viongozi wa dini ya kiislam inabidi wasikilizwe na wao wajifunze uhalali wa kuwepo ofisi za kibarozi za nchi ambazo ni za kiislam hapa Tanzania (dar es salaam. Vinginevyo watakuwa ni wanafiki na hawatakuwa na hoja ya msingi ya kumshawishi mtu yeyote anayefikiri sawasawa.
  4. M

    Vita Kali ndani ya CHADEMA

    Je hizi tuhuma zidi ya Dr Slaa zinachukulia kwamba viongozi wengine wa siasa za hapa Tanzania ni wasafi? Unless ufuska na uoza wa viongozi wengine unawekwa hadharani, mimi binafsi nitazipuuza kwa nguvu zote hizi tuhuma. Caution: 1. Hii itakuwa mwanzo wa CHADEMA kuparaganyika, na demokrasia...
  5. M

    Tanzania: Vyeti bandia, elimu za kununua na watumishi vihiyo

    This is serious, but not surprising. CCM inatawala kwa sababu ya UJINGA ya wapiga kura. Mali asili yetu inapotea kwa sababu ya UJINGA ya wapiga kura. Serikali inatumia ovyo fedha za walipa kodi kwa sababu ya UJINGA ya wapiga kura. Wabunge wa CCM wanageuka Serikali ndani ya bunge kwa...
Back
Top Bottom