Search results

  1. COMPLICATOR2011

    My wife wa hayati kanali gaddafi

    Asante sana ndugu yangu watu wengine humu Jf si binadamu kabisa.
  2. COMPLICATOR2011

    Freeman Mbowe afikishwa kortini

    Ukombozi TZ unanukia
  3. COMPLICATOR2011

    My wife wa hayati kanali gaddafi

    Tangu vita ya kumng'oa Gaddafi ianze na hatimaye kumuua sijawahi kusikia mke wake akitajwa au hakuwa na mke?
  4. COMPLICATOR2011

    Vote for Mount Kilimanjaro to become among new 7 wonders

    Mi hata sielewi mtu sifaidiki chochote na rasilimali za Tz howcomes niwapromote tena? hata kama ni bure mm naionea huruma charge ya cm yangu bwana.
  5. COMPLICATOR2011

    Dhifa ya kitaifa kwa mwana wa mfalme ikulu ya tz, ktk picha

    Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na wageni wao Prince Charles na mkewe Duchess of Conrnwall katika dhifa ya kitaifa waliyowaandalia jana usiku Ikulu jijini Dar es salaam. Rais Dkt Jakaya Kikwete akisoma hotuba yake katika hafla hiyo. Rais Dkt Jakaya Kikwete...
  6. COMPLICATOR2011

    Dhifa ya kitaifa kwa mwana wa mfalme ikulu ya tz, ktk picha

    Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na wageni wao Prince Charles na mkewe Duchess of Conrnwall katika dhifa ya kitaifa waliyowaandalia jana usiku Ikulu jijini Dar es salaam. Rais Dkt Jakaya Kikwete akisoma hotuba yake katika hafla hiyo. Rais Dkt Jakaya Kikwete...
  7. COMPLICATOR2011

    Wabunge wa CHADEMA tuachane na Bunge tuungane Arusha

    Nasikia Kikwete jana "katembea" na mwana wa mfalme wa uingereza prince Charles, vp habari hizi ni za kweli?
  8. COMPLICATOR2011

    Sio sawa kabisa dhifa za taifa kuonyeshwa kwenye tv

    maana hasa ya kuonyesha ile ilikuwa nn?
  9. COMPLICATOR2011

    Yani hawa Ray na Kanumba ni vilaza kweli

    Kwani wewe umenunua hiyo cm ya mtandao ni hadhi yako? acha wivu mtoto wa kiume/ke
  10. COMPLICATOR2011

    VENGU (Joseph Shamba) anaumwa, kalazwa Muhimbili tumuombee na kumjulia hali

    Najua alikuwa Orijino komedi kwani alikuwa vilevile anasoma? wapi?
  11. COMPLICATOR2011

    Waziri ataka wanafunzi waandamane wenzao waliokopa walipe!

    Mimi nawashangaa sana hawa watu, kuna waraka umekuja ofcn kwetu unasema kila mtu aorodheshe chuo alichosoma na idadi ya mkwanja alioukopa ili waanze kufanya deducation kwenye mishahara yetu, sasa mimi sielewi kodi ninayolipa inafanya kazi gani?
  12. COMPLICATOR2011

    Wiki za maazimisho ya miaka 50 imeisha wizara zimehamia kwenye Shimiwi

    ofisc kwetu wameniteua kwenda shimiwi Tabora kwa wiki mbili and then Morogoro wakati mm hakuna hata mchezo ninaoucheza nimekataa kwenda siwezi kufoji hela za walipa kodi bure
  13. COMPLICATOR2011

    Wabunge wa CHADEMA chini ya kamanda Mbowe kuunguruma kesho Dodoma

    Kova is shooting randomly, nimecheka sana
Back
Top Bottom