Habari wandugu,
Naomba wanasheria mnisaidie kama kuna kifungu chochote katika sheria ya ardhi kinachosema mtu anapouziwa eneo ni lazima kati ya mashahidi wawe watu wanaopakana na muuzaji.
Pia naomba kama kuna mtu ana contact ya mwanasheria mzoefu wa maswala ya migogoro ya ardhi ani pm...
Walisema mbona hawagusi vigogo sasa kaanza kawataja bado mnamsakama. Hamjawahi kupoteza ndugu kutokana na hili janga eeh!! Sasa hivi issue imegeuka eti utajiri wake? Watanzania kweli tumelogwa:(:(
Walipingwa manabii itakuwa Magufuli! Atupeleke tu kwa mbio hizo zinazoitwa "udikteta" maana tushapelekeshwa kwa style ya kubembelezana na kuchekeana chekeana ona tulipofikia!
Watching Ronaldinho playing was very entertaining! (The Brazilian Samba style) He was among the greatest players of those times! But Zidane was better than him. Waweza kuwalinganisha Ronaldo na Zidane labda. But not Ronaldinho..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.