Search results

  1. B

    Polisi Central Arusha: Shangwe na wimbo wa Taifa vyarindima

    Nimetokea maeneo ya Njiro kuja town kupitia Keep-Left ya Impala, kuingia hadi Clock tower (Arusha hotel) hadi CRDB friends corner kuelekea stendi kuu ya mabasi, sikufanikia kuona Police-Traffic hata mmoja! wanaogopa kusimama barabarani. Nimekutana na Deffender zaidi ya Tano zenye polisi...
  2. B

    IMF wathibitisha, Serikali imeishiwa!

    sas huku tunakoelekea ni kule waliko wenzetu wa Turkey! Mungu atuepushie mbali na hili! Eee Molah tuepushie hili balaaaa!
  3. B

    Rostam Aziz aachia ngazi CCM

    Mungu ni mkubwa! hatimae sasa Mungu anaanza kuwarudishia wana wa Tanzanial uhuru wao kamili.
Back
Top Bottom