Search results

  1. S

    Hongera LULU umewakilisha mateso ya wanawake Duniani

    Sijapata ona jitu lenye akili mbovu kama mwanzisha hii mada amekosa upeo wa kila namna na mawazo finyu!!
  2. S

    Hongera LULU umewakilisha mateso ya wanawake Duniani

    we ni mpuuzi mwenye laana kama za lulu na upuuzi huu uliondika ipo siku utakutokea puani kama ulikuwa na chuki na marehemu happa si mahala pake ama kama ulishawahi dhalilishwa na mwanaume wako usifanye ulionganisho hapa umekosa hoja ya msingi na kuingiza ***** pole sana akili zako zimelala kama...
  3. S

    BONTA katoa MATUSI

    acha uongo mwana kama ni siha bonta mi nilikuwa nae class moja na hakuwa na hizo issue za wizi acha kumchafua mwana kama sio mpango we ndo ulikuwa mwizo wa kahawa paka babu ng'unda akakukamataga nakujua sana wewe!
  4. S

    majina ya vijiji vya vya hanang'

    Mi nilikuwa kwa kampeni mwaka juzi hanang nilizzunguka kata zote 25 paka zile mpya za simbay na gisambalang kule mppakani na kondoa,getanuwas...dah acha tu thanx kaka!
  5. S

    SITTA AUMBUKA, BAADA YA TAARIFA YA Dr. Mwakyembe

    Kakauona kweli nimeamini akili ni nywele na hilo para lako ndo maana waongea upu***
  6. S

    Ushauri wenu jamani

    Assalam aleukum ndugu zangu,nina jambo moja nataka kuliweka hapa japo tusaidiane katika hili!nimekutana na dada mmoja bahati nzuri nakaa nae mtaa mmoja nikatokea kumpenda sana ila cha ajabu huyu mwenzangu baada ya kuanza mahusiano akaanza mizinga mwanzoni nikajua ni ya kawaida tu so sikushtuka...
  7. S

    Maskini wa Mungu mimi sijui nifanyeje!

    Nitafute kwa email adress hii...innocentchristopher39@yahoo.com
  8. S

    Kwanini wanaume ni waoga kiasi hiki

    Uwoga napo smtms kana raha zake kanakuepusha na vijigharama visivyo na maana...ufisi daima..
  9. S

    Kwanini wanaume ni waoga kiasi hiki

    mi mwenyewe ni mwoga paka huwa najikubali sana...hivi jamani napo kuwa mwoga ni kaugonjwa ehh...
  10. S

    Unamjuaa huyu???

    E we nae ni walewale maana hoja yako ya st kayumba kama unaona umeongea point kumbe uharo...we wa st francis tueleze una miguu mitatu nini?
  11. S

    Mnyika: Diwani wa Sinza amefanya maajabu ni kama mbingu na ardhi ukilinganisha na aliyekuwepo

    Halafu jamaa aache usanii maana anajifagilia mwenyewe maana ndo jina lake mr pamba ni mwanamuziki anayejiita mr simple sasa kwann usiweke mambo hadharani kuliko kupitia mlango wa nyuma kwa kofia ya mh mbunge?acha. Hizo bana mi nakaa sinza barabara bado mbaya sana fanya kazi acha kujipaka mafuta...
  12. S

    Ninatafuta mume wa kuishi na kufunga nae ndoa

    Mi nakutakia kila la heri katika maombi yako na hakika mungu atakupatia kwani alisema aombae katika jina langu nami nitampatia...
  13. S

    Asanteni wanaigunga kwa kutuletea ulaji Pugu

    Sasa kwa matusi hayo kwa wana igunga nadhani mnajisahau kuwa kuna uchaguzi 2015,hivyo wapeni hongera kwa kupunguza zile asilimia si matusi kama hayo ambayo hayafanani na great thinkers...
  14. S

    Jambazi sugu lakamatwa Iringa

    Kwani kwa tafsiri yako hamidshaban mali ni nini?
  15. S

    Hivi ni kweli hazisomi?

    Wasalaam aleukum bandugu bapenzi,na baada ya salaamu hii naomba kuwasilisha kile ambacho Kinanisumbua kichwa changu na kuhitaji elimu ama. Uelewa katika hili...je ni kweli kuwa hakuna mashine maalumu za kumkagua ama kumbaini mtu kama kabeba madawa ya kulevya mwilini mwake?maana kuna rafiki yangu...
  16. S

    Dalili ya Kufa Penzi

    Unaandika masage nzuri na ndefu kidogo mwenzako anajibu kwa ufupi either yes or no ama poa...hapo ujue umeumia
  17. S

    Alaumiwe nani kati yao hawa

    Hakuna wa kumalaumu mwenzake hapo ila kama tu walipeana ahadi pindi walipobaini kuwa mmoja anakwenda masomoni kusoma..
  18. S

    Mzee wa Kiraracha choka mbaya

    Na wewe jiandae kuchoka hivyo hivyo maana paka binadamu mna discuss afya ya mwenzenu ni ukosefu wa akili kichwani na kazi anapiga vizuri kabisa hata kuliko walio wazima kama wewe
  19. S

    Nichukue hatua gani hapa?

    <br /> <br /> kaka ulichongea upo sahihi kabisa jamaa asiwe mwepesi wa kufanya mamuzi maana hawa akina dada si wakuwekea gurantee
  20. S

    Dr. Wilbrod Slaa ndani ya Manyara (Katesh)

    <br /> <br /> mi nina asili ya huko na baadhi ya ndugu zangu paka leo wanaishi huko,nachoweza kusema naifahamu hali ya kule kwa kiasi kikubwa na kinachosemwa ni kweli!
Back
Top Bottom