Search results

  1. Patriote

    Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Kama upo shortsighted pia si rahisi kuona makosa. Suala la elimu sio la kucheza nalo. Tulidhani tunaelekea kwenye elimu bure had vyuo vikuu. Ila kwa mtazamo huu. Tutasubiri sana
  2. Patriote

    Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Hayo ndo mazingira ya kukaribisha vichocheo vya rushwa. Hayo mawazo yake ni "shortsighted". Sent from my Infinix NOTE 2 LTE using JamiiForums mobile app
  3. Patriote

    Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Kichaa tena??? Yamekuwa haya aisee? Sent from my Infinix NOTE 2 LTE using JamiiForums mobile app
  4. Patriote

    Katambi asema CHADEMA ni sawa na Mgambo JKT, kaamua kujiunga na JWTZ

    Nadhan kaambiwa ili aongeze visibility kwa JPM ni lazma aishambulie CDM. Anapoteza muda mana hana uwezo wala sifa ya kuichafua chadema. Alishindwa Dr. Slaa, yeye nani??? Mziki wa CDM hata JPM anaujua na ndo mana wanaingiza had vyombo vya dola viwasaidie mana kwa haki bin haki asubuhi sana...
  5. Patriote

    Katambi asema CHADEMA ni sawa na Mgambo JKT, kaamua kujiunga na JWTZ

    Huyu hajui kuwa anajichoresha. Katika huo mkutano hakuna asiyejua kuwa anachokifanya hapo ni unafki. Anataka watu wapeleke ushahidi wa watu wanaonunuliwa. Inamana yeye clip ya Nasari hajaiona? Au anahisi waluomo kwenye huo ukumbi ni mazuzu na hawajaona ushahidi wa watu wakinunuliwa? Au ameamua...
  6. Patriote

    Aliyepika data za UVCCM achukuliwe hatua za Kisheria ndani ya chama chetu

    Nani kasema vijana wa ccm hawapo kwenye mitandao?? Tunao humu siku zote ila hawawez jibu hoja za wapinzani. Unamuuliza Kijana wa ccm, nyie mlimtukana Lowassa aliposema akiwa Rais atawaachia hutu akina Babu Seya, Leo JPM kawaachia huru je yale matusi yenu yamhusu pia JPM? Hapo unataka Kijana wa...
  7. Patriote

    Freeman Mbowe must step down to allow the oppostion party(CHADEMA) to take off!

    Piga kura ya hapana wkt wa uchaguz. Ukituambia aondoke now ni sawa nankutupigia kelele. Sio muda wa uchaguz huu. Wengi hawamtaki JPM ila hawawezi kumwondoa kwa matamko ya kwenye social media.
  8. Patriote

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma Khamis akamatwa na TAKUKURU. Ni kwa tuhuma za Rushwa

    Maandalizi ya Kiki tu haya. CCM wametega michongo ili tuone wapo serious na rushwa. Kama wapo serious watutajie waliobeba hela za escrow kwenye Sandarusi Stanbic waache kutupa ubize na virushwa vdg.
  9. Patriote

    CHADEMA: Usahihi Wa Taarifa Kuhusu John Mnyika

    Sitashangaa kama Kijana wa Lumumba atashindwa elewa tulichoandikaana elimu yenu ni ya MEMKWA.
  10. Patriote

    CHADEMA: Usahihi Wa Taarifa Kuhusu John Mnyika

    Nadhani wapo kwenye majadiliano. Siyoshanga kusikia mmoja kafika bei. Kuna wa vyama vingine naona wana/watachukuliwa tu hata kwa mkopo. Mana wanaona wasipoondoka kwenda CCM watashuka daraja na team yao.
  11. Patriote

    CHADEMA: Usahihi Wa Taarifa Kuhusu John Mnyika

    Inasikitisha na kushangaza kuona kwamba ccm ya Leo inaona ni ufahari mkubwa sana kurubuni na kupata mchezaji wa CDM/CUF. Yani hapa inakiri kuwa ccm inawachezaji mizigo na wachezaji wazuri ni lazma inunue wa timu pinzani ili iweze kusonga mbele. Kwakweli CDM imeweza kuwajaza CCM na wamejaa...
  12. Patriote

    Kailima Ramadhan: Uchaguzi 2015 ulikuwa huru na wa haki, CHADEMA imeshindwa kihalali! Hakuna upendeleo kwa CCM, NEC ni Tume huru

    Pascal Mayalla unapaswa uelewe kuwa Tume iliratibu uhuni uliofanyika jana. Huu sio uchaguzi wa kwanza kufanyika Tanzania. Figisu tulizoziona jana kimsingi zinafuatia agizo la Rais la kutaka Wagombea wa CCM watangazwe hata kama hawajashinda. Mana alisema "inashangaza watu tunawalipa mishahara...
  13. Patriote

    Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

    Hapa nadhani sisi tunaotawaliwa ndio tuna akili ndogo zaidi na ndo mana ccm wanatuoutsmart. Ipo haja ya kuweka mkakati wa maskudi wa kuwachomoa.
  14. Patriote

    Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

    Hapo ndipo panapoumiza. Kuna kila dalili kuwa hii nchi tumewaachia wajinga watuongoze. Kwakweli tusitegemee la ziada. Mbaya zaidi kitakwimu wala hawapo wengi, ila wanatuyumbisha kweli. Wah!
  15. Patriote

    Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

    Si uanzishe uzi wako?? Yani nyie akili zenu zinafanana kweli. Sasa hapa unaona ni sehem inayofaa pachika hiyo barua? Worse enough, kinachoendelea Arumeru kishafahamika kwa werevu, kama mnadhani mtaattract attention ya wenye akili timamu mnajidanganya sana. Kama mliweza nunua diwani anayelipwa...
  16. Patriote

    Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

    Hapa Spika, Bunge na CCM wote wamejamba hadharani. Kuna msemo unasema CHIZI akikaa kimya huonekana ana Busara/Mwerevu. Response ya CCM/Spika kwenye hii issue imetudhihirishia Watanzania mchana kweupe kuwa tunaongozwa na wenye akili ndogo. Ndugu zangu watanzania, Kuendelea kuiacha akili ndogo...
  17. Patriote

    Tahadhari: Veronica Anthony na Anthony Wilium Lwitiko; Matapeli wakubwa katika Forex

    Kuna kuinvest sasa hapo?? Hapo sema tu kaweka hela. Investment huna hata document au property utasema umeinvest kweli?
  18. Patriote

    Nauza asali, ni mbichi na haijaongezwa chochote

    Tani 138,000 ni potential production (kiwango ambacho nchi inaweza kuzalisha kama tungewekeza vya kutosha) kwa mwaka. Ila kiwango halisi ambacho tunazalisha inakadiriwa kuwa ni Tani 4860 (actual production) kwa mwaka. Nayo ni takwimu ya karibu miaka 20 iliyopita. Jarida la Business Times...
  19. Patriote

    Nauza asali, ni mbichi na haijaongezwa chochote

    Hizo chupa mnajuaje kama hazikukojolewa? Kuna msemo usemao bure aghali. Tusipende kurisk afya zetu.
Back
Top Bottom