Well said, na kwa bahati mbaya zaid tuendako ni mbali zadi kuliko tulikotoka. Katibu Mkuu wa chama na Waziri mkuu kwa mbali wamenza kuona, hilo japo wanakuwa na hofu na ajira zao. Kwenye uchaguzi ujao tutaona maajabu mengi zaidi, morali ya wapiga kura wakati wanaokataliwa ndo wanapewa ni shida...
huyu atakuwa kapata mgao wa rambi rambi, Kwa hiyo hzi lawama ni kwa CDM, lakini kwa magufuli aliyekuwa nakunywa chai sawa sawa. Hizo rambi rambi zitawatokea puani siku moja
Hivi mmwenge una kitu gani cha maana hadi wanatu wanaulinda na binduki? au ni serikali wamekuwa ni waoga sana siku hizi kwa watu wanoawatawala? naona hata msafara wa jiwe binduki ni balaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.