Search results

  1. Ad Hoc

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Kwa siasa za Tanzania hiyo ni kawaida kabisa, mie nafikiri kutopata nafasi hapo pia inasaidia kwa usalama wao mana wana CCM hawaaminiki hata kidogo!
  2. Ad Hoc

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    We unayejiita MKUUWAKAYA nafikiri we ndio mtoto usiyeweza kujua hata nini unafanya...yani kutoa tu hiyo comment tayari umejadili...ungekuwa mtu mzima ungekaa kimya kabisa, ukue basi mana utoto wako wa facebook huku ndio hatuutaki kabisa, sawa bwana mdogo...!
  3. Ad Hoc

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    hata wampeleke Obama kama wananchi wanajua nini cha kufanya watabadilika tu
  4. Ad Hoc

    Kijana amwagiwa Tindikali Igunga

    Kama CCM mmeanza kufahamu kuwa kitendo kama hicho ni Unyama na ugaidi basi 'mmekuwa'....ungetumia kauli hiyo hiyo baada ya matukio ya Arusha, Sumbawanga,Moshi na Mwanza na sehemu nyingine ambazo sijazitaja ambako serikali ya CCM iliamrisha vibaraka wao (polisi) kufanya vitendo kama vivyo...
  5. Ad Hoc

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Kazi ipo na sio ndogo wa CCM...bahati nzuri wao pia washakiri kuwa hali ni ngumu kurudisha jimbo, ni afadhali waanze kuona picha halisi ya uchaguzi wa 2015..!
  6. Ad Hoc

    Ajali ya Meli: Maoni na mtazamo wa wananchi kwa yaliyojiri

    Kwa kweli ni jambo la msingi kuhuzunika na wenzetu ambao msiba huu umewagusa moja kwa moja kwa kupoteza ndugu wa damu au wa karibu sana. Natoa rambirambi zangu katika hilo. Lakini swala la kuhairisha shughuli zingine kwa tukio hilo tu inabidi litazamwe kwa jicho la tatu kuliko kulijadili kwa...
  7. Ad Hoc

    Natafuta mtu wa kunitengenezea t-shirt za sare.

    Habari...! Nahitaji mtu wa kunitengenezea t-shirt za sare ya chuo...kama unaweza deal hiyo nipe namba yako tuwasiliane!
  8. Ad Hoc

    Another mchungaji!

    Duh ..........!
  9. Ad Hoc

    Simple truth!

    hhahahahahaaa.....! kweli kabisa!
  10. Ad Hoc

    Baba kumtaka kimapenzi mwanae.

    Sidhani kama hata shetani huwa anakubaliana na hayo....ahhhh!
  11. Ad Hoc

    Misamiati ya kisiasa

    AKIDI: idadi ya watu inayoridhisha kuchukua maamuzi fulani juu ya jambo fulani. MANIFESTO: Azimio la chama kuelezea msimamo wa chama kuhusu tukio au wazo fulani kulingana na sera au mpango wa chama. BARAKALA: Mtu anayejipendekeza kwa watu wenye mamlaka ili apate cheo au mamlaka sehemu fulani.
  12. Ad Hoc

    Nini Maana ya "OMBWE" na "WELEDI"

    Ombwe ni utupu wa kutokuwa na kitu kwa kipindi fulani, yawezekana mawazo, vitu au hali fulani. kwa mfano kwa sasa Tanzania ipo katika ombwe la maamuzi ya busara ndio maana inashindwa kuamua mambo yake muhimu mpaka yaamuliwe na nchi zingine...!
Back
Top Bottom