Search results

  1. L

    Natafuta binti alie tayari kuolewa

    inaonekana uko siriaz mkuu. usihofu MUNGUyupo atakusaidia. muombe sana atakusaidia
  2. L

    Natafuta binti alie tayari kuolewa

    wewe ni mkristu wa dhehebu gani?koz yako mengi.fafanua ili ueleweke vizuri.pia ungetaja rafly ni msichana wa aina gani unahitaji mkuu il waweze kuona kama wanafit vigezo vyako mkuu
  3. L

    Kudumisha mapenzi kati ya mke na mume.................nini kifanyike

    Dada white nakuunga mkono kwani njaa haina aibu hata kidogo.mtu aweza fanya jambo ambapo ikishapata chakula akala anaanza kujishangaa ilikuaje akafanya vile.
  4. L

    Kudumisha mapenzi kati ya mke na mume.................nini kifanyike

    papo umesema kweli.ni wajibu wetu kufanyia kazi
  5. L

    Kudumisha mapenzi kati ya mke na mume.................nini kifanyike

    Mi napendekeza tu kuwa watu wawe wavumilivu kwani wake au waume zao hawakuchaguliwa na mtu ilikua hiari yao wenyewe.pia tuwe na upendo kwa wake na waume zetu bila kusahau hofu ya mungu kwani ndo inayotuepusha na mambo mengi mabaya
  6. L

    Kudumisha mapenzi kati ya mke na mume.................nini kifanyike

    kwakweli lara umenifurahisha manake kila kundi umelipa mstari wake.haya bwana mi saina mbavu hapa nlipo.
  7. L

    Kudumisha mapenzi kati ya mke na mume.................nini kifanyike

    Habari za leo wana jf wenzangu. Kwa mtazamo wangu sikuhiz kumekua na matatizo mengi katika ndoa ambayo hupelekea ndoa nyingi kuvunjika au hata uchumba mwingi kuishia hewani hewani.je tatizo ni nini? Nahtaji busara zenu hapa jamvini ili niweze fahamu chanzo hasa ni nini kwasababu tatizo hili...
  8. L

    Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

    HAYA JAMANI TUSHINDWE WENYEWE KUPUNGUZA UZITO ILI UENDANE NA KIMO/UREFU NA HATIMAYE BMI ZETU YAANI BODY MAX INDEX YETU IWE VIZURI kupunguza unene ni lazima ujinyime kula ili uingize kalori kidogo lakini ufanye sana kazi au mazoezi ili utoe kalori nyingi mwilini. Baadhi ya watu...
  9. L

    Yaani! Mhuuuuu!

    KULIKUA NA WANANDOA YANI MKE NA MME.SASA MWANAMME AKAWA NASHAISHANAA AU NAWEZA SEMA KUIKODOLEA MACHO MARRIEGE CERTITICET(CHETI CHA NDOA) then mwanamke akasema."mumu wangu,kulikoni..mbona unakodolea macho hichocheti cha ndoa .kinatatizo? mwanaume akajibu,hapana mke wangu nlikua nachunguza...
  10. L

    Wanawake na wanaume wa Kinyamwezi

    za leo wanajf. mi napenda kujua kidogo kuhusiana na social life ya wanawake na wanaume wa kisukuma na wanyamwezi.kwa yeyote mwenye details karibu kuchangia.
  11. L

    Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    s unajua sisi walokole haturuhusiwi kuonjaonja kabla ya kuhalalisha kanisani?
  12. L

    Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    asante sana kwahauri wako.nimikupata ipasavyo.
  13. L

    Shade of sin

    Mimi nlitokea kuipenda sana ile tamthiliya ya shade of sin iliokua inaoneshwa itv.je inapatikana madukani? .je nimaduka gani?
  14. L

    Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    asante sana.kwa kunipa moyo.kusema kweli nampenda sasa.ila kutaka ushauri pia si vibaya jamani.au nimekosea?
  15. L

    Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    mimi ni msichana nina umri wa miaka 26.lakini nimepata mchumba ambaye kanizidi miaka 13.kusema kweli ninampenda sana.naombeni ushauri wenu.je ananifaa ?au ni mkubwa sana kwangu?.nishaurini mwenzenu
Back
Top Bottom