Search results

  1. N

    Mwigulu azomewa vibaya Kaloleni Arusha

    Hivi, huu upuuzi wa vijana kupost uongo humu JF, Utaisha lini? Mimi leo nilikuwa Arusha. Mwigulu amepiga mkutano fresh mwanzo mpaka mwisho na hakuzomewa. Hii faraja mnayotafuta mitandaoni, maradhi yatakuja waumbua kifo chenu kikifika. Shame on you.
  2. N

    CHADEMA na harakati za leo

    leo nataka tukumbushana wana JF. Hivi mnakumbukua chadema waliamua kuondoka bungeni na kumuacha mhe. Rais akilihutubia bunge? Wakadai hawamtambui!! Siku chache baadae wakarudi bungeni kuendelea kujadili hotuba ya rais. Majuzi walitoka nje ya bunge kususia muswada wa katiba. Siku chache baadae...
  3. N

    MwanaHalisi: Serikali hali ngumu - yaagiza kusitisha ajira na kutopandisha vyeo kuelekea 2012

    serikali bado haijafilisika! Ukisema imefilisika unakosea. Assets za serikali zina offset liabilities zake. Isitoshe, serikali inauwezo wa kutumia njia nyingi tu ili kupata fedha. Kuchelewa mishahara, kupunguza mishahara, kushuka kwa thamani ya shilingi, ni mambo ya kimkakati yamakusudi ku...
Back
Top Bottom