Search results

  1. Vanpopeye

    Mchepuo wa HGL Vs Fani za vyuo Vs Upatikanaji wa ajira.

    Habari ndugu zangu, kwa anayesoma mchepuo wa HGL anaweza akasomea fani gani chuo kikuu ikiwa matarajio yake ya kwanza ni kupata ajira? (Fani ambayo ajira zake si ngumu sana kupata) Pia anaweza akasomea ualimu akawa mwalimu wa Geography+Language?(Kwa kuwa tunaona sasa waalimu wa Arts wengi...
  2. Vanpopeye

    Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

    Hahaha....hizi idea za mtaalamu the late Mr. Ebo, aliruka kwenye gari ikamuacha, utakuwa ulichukulia serious hiyo eeh? #Joking.... :)
  3. Vanpopeye

    Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

    Hahaha...watu wengine bwana sijui mpoje, nimecheka kweli.
  4. Vanpopeye

    Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

    Shukran kaka, nazidi kuelimika! naomba kujua weye ni Rubani au Injinia? mada na majibu yako yana tija sana kwangu.
  5. Vanpopeye

    Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

    Helicopter ni most complex na ni gharama kubwa sana kuendesha. Ina moving parts nyingi kuliko aeroplane....
  6. Vanpopeye

    Nauli za Mabasi na ukubwa wa mzigo unaotakiwa kutolipiwa

    Ngoja nijitahidi kusoma, maana kizungu nacho huwa hakina adabu vizuri!.
  7. Vanpopeye

    Nauli za Mabasi na ukubwa wa mzigo unaotakiwa kutolipiwa

    Habari wanaJF! Hivi tuna sheria yoyote inayohusu mizigo ya abiria wakati anasfiri kwa basi? Maana kuna Ndugu yangu anasifi toka Arusha kuja Serengeti kwa basi, sasa amebeba mzigo kidogo vyakula amenunua sokoni ambayo havifiki 20kg na wamemkomalia alipie nauli 40,000/- na ukizingatia 40,000/- ni...
  8. Vanpopeye

    Serengeti: Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu azindua Jeshi jipya nchini

    Tegemea ufanisi na weledi mkubwa sheikh
  9. Vanpopeye

    Serengeti: Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu azindua Jeshi jipya nchini

    Ndicho kinachotegemewa my Brother.
  10. Vanpopeye

    Serengeti: Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu azindua Jeshi jipya nchini

    Tuliwahi kuwa na Jeshi la Uhifadhi kumbe?
  11. Vanpopeye

    Serengeti: Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu azindua Jeshi jipya nchini

    Juzi tu zilitolewa nafasi za askari zaidi ya 100, sifa moja wapo ilikuwa ni form four mwenye mafunzo ya JKT. Kwa hiyo askari toka JKT wataweza kuajiriwa kama kawa.
  12. Vanpopeye

    Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

    Mkuu, inawezekana kujua VOR radial uliyopo (assume unaenda "delta victor") bila kutumia VOR display?
Back
Top Bottom