Okay, I think we are making some progress here...
We have forced government's hand, and now Prime Minister Mizengo Pinda has decided to come out and reiterate the need for a new constitution: "I believe there is no difficulty in this [matter]. As Prime Minister, I am ready to take the...
WanaJF, I think we're making some progress here... [Read this Editorial piece from "The Guardian on Sunday". It pretty much covered all items that we have already outlined in our petition (much thanks to the Editor!!):
P.S. Please continue to sign/promote our online petition:TUNAHIHITAJI...
Okay, kwa wale ambao walikuwa wameniomba ni generate 'Hardy Copy' ya petition, tayari nimefanya hivyo. So if you wish to hep us collect more signatures from the people who don't have access to a computer at home, we kindly ask you to download the attached file/PDF to your computer (print...
Mzee Mwanakijiji, Mkapa na Jaji Mkuu will continue to be just fine whether katiba ya zamani inaendelea kutumika au katiba mpya itapatikana. Tutakaoendelea kuumia endapo kama katiba ya zamani itaendelea kutumika ni sisi hapa, wananchi wa kawaida. So swali kwamba, "kwanini wanataka katiba mpya,"...
Nadhani ni woga ambao hauna msingi wowote, [CCM/Serikali] wanahofia kile ambacho watu watapendekeza katika katiba mpya, lakini mimi naamini watu wakikaa chini na kutulia, hawawezi kuja na vitu vya ajabu" ~ Jaji Bomani (Dec, 2010)
First of all, I think serikali hapa inataka kukurupuka kufanya jambo ambalo haina uwezo wa kuli-implement vizuri. And I don't think huyu Ms Blandina Nyoni knows what she is talking about? I mean, waulize nchi zilizoendelea kama vile Uingereza na Marekani watakueleza ilivyo ghari kutoa huduma za...
Mkuu, it's so true kwamba "Time will tell." Lakini Louis-Hector Berlioz pia anatuonya kwamba, "Time is a great teacher, but unfortunately it kills all its pupils." Tangu mwaka 1992, miaka mingi imepita sasa. We don't have much time on our side kwakweli. Ndo' maana inabidi tufanye kila...
Okay. Calm down. Take a deep breath, and then sign a 'stieglers gorge' petition here: TATIZO LA UMEME: TUPATIENI 'STIEGLERS GORGE' Petition. Hasira, kelele, lawama, matusi won't help a thing! Let's push this Kikwete guy to act. Let's send a strong message to 'em Mafisadi guys, too--kwamba...
Mams, usiwe na shaka. Hii petition haiwezi ikachakachuliwa (kuna "super commandos" wanaoilinda). Plus, petition a katiba inapaikana hapa (ingia usaini kama ulikuwa bado hujaanya hivyo): TUNAHIHITAJI KATIBA MPYA Petition
Good point, YeshuaHaMelech! I think kale kamsemo ka zamani "nchi yetu haina dini," ni mahala pazuri pakuanzia. Ila natambua kuna baadhi watataka suala la Kadhi mkuu litambuliwe Kikatiba (na hapo ndipo manung'uniko/mpasuko wa kidini utakapoanza). But, anyway, hiyo ndo' gharama ya demokrasia...
TAMKO LA MBUNGE WA KIGOMA KUSINI KUHUSU MGOGORO WA NISHATI YA UMEME NA KUSUDIO LA KUWASILISHA HOJA BINAFSI BUNGENI
JUMAPILI, DISEMBA05, 2010
Dar es Salaam.
UTANGULIZI
Karibuni wanahabari. Leo nimeamua kuwaomba kama wanahabari na watanzania wazalendo tujadili hatma ya Taifa...
Mkuu, kichuguuu kuna msemo usemao, adui wa adui yako ni rafiki yako: Of course, Mkapa alikaa kimya na kushindwa kuzungumzia umuhimu wa katiba mpya kipindi cha utawala wake, lakini hiyo sio sababu tosha ya kupingana na kila anachosema (especially anaposema jambo zuri kama hili). Watu hujifunza...
Yes, by then hard copies za petition zitakuwa ready. Ila watu wanaweza kuendelea kusaini online petition inayopatikana hapa: TUNAHIHITAJI KATIBA MPYA Petition
Mkuu, Adili: Kuhusu kuwashirikisha wananchi wa vijijini (akiwemo kaka Karumanzila), napenda kukuhakikishia kuwa taratibu nzuri za kufanikisha zoezi hilo tayari ziko mahala pake. Mfano, tunajiandaa kuchapa nakala nyingi (2 million+), ambazo tutazisambaza kwenye mashule ya sekondari, vyuo vikuu...
Mkuu Adili, nimekupata. In fact, hicho ndicho precisely tunachokifanya hivi sasa. (i.e. kuwashirikisha wananchi wote mijini na vijijini katika zoezi hili). Ila inabidi tuwe realistic hapa kaka, wataalamu wa sheria/Katiba wana sehemu yao pia, ambayo ni kuyapiga msasa maoni tutakayoyatoa. And I...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.