Search results

  1. D

    Kamati kuu ya CCM trh 30.7.2011

    Wadau Kikao kimecotton fire Chenge amemuingiza mjini Mwenyekiti kumbe ilitakiwa kabla hatujaanza kikao hiki ilitakiwa awe amejiuzulu na alikubali hivyo mbele ya Kikao cha maadili Lowassa ndo alikacha kabisa,Mwenyekiti kaumbuka ndani ya Kikao Wajumbe wamechachamaa Mkama toka alipoenda uani saa...
  2. D

    Kamati kuu ya CCM trh 30.7.2011

    Mkuu ndo kwanza hatujaanza hata agenda moja,wajumbe wote hatujui agenda ni zipi wanaojua ni mwenyekiti na katibu pekee lakini kikubwa wajumbe wote tunataka kufahamu sababu inayofanya Sungura wetu asikue kwa miaka 50 sasa,chanzo nini (1)Asili yake (2)Wafugaji wameshindwa kumtunza Tutaendelea...
  3. D

    Suala la Kikwete Kutukanwa Kila Mahali Linahitaji kuthibitishwa- Mh. Simbachawene

    Si kweli Simbachawene anamdharirisha Rais, Isipokuwa Rais Anajidhalilisha mwenyewe kama mnabisha naiomba Serikali impangie Rais wetu Ziara katika mikoa ya Kilimanjaro,Mbeya, Iringa, Mwanza,Arusha,Manyara na Morogoro na Afanye Mikutano ya Hadhara wakati Shule zote za Msingi na Sekondari zikiwa...
  4. D

    Hatimaye J.K Kafanikiwa kunywa maji na kuchafua kisima

    Na ndio hatari inayokuja Joss
  5. D

    Hatimaye J.K Kafanikiwa kunywa maji na kuchafua kisima

    Nape ushauri wangu wa bure tu hebu achana nasiasa za kihuni hizo wewe bado mtoto sana, hivi unashindwa kufikiria wazee wazima kama msekwa wametulia tu,hao jamaa unaowasema hivyo wanaijua serikali mwanzo mwisho J.K mwenyewe ana wajua hao bila wao Urais angeusikia
  6. D

    Hatimaye J.K Kafanikiwa kunywa maji na kuchafua kisima

    Niwape wadau wa JF kwa kazi nzuri mnayoielimisha jamii kupitia mtandao huu, salute kwenu. Nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa CCM toka wameanzisha operesheni hii vua gamba, ukiafuatilia kwa makini kabisa(jaribu kufikiri angalau kwa dk 5) ndugu zanguni, unajiuliza hivi gamba ni lipi ndani ya CCM...
Back
Top Bottom