Search results

  1. Abuu Kauthar

    Zaidi ya KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F. Serikali yasema hazitalipiwa Tozo

    Alafu padre slaa anataka kumpindua rais. Shame on him
  2. Abuu Kauthar

    Kwenye Soka amewahi kutokea mtu muongo kama Haji Manara?

    Hahhaa yaani unastaafisha leo kesho unampa mtu, wale wamefura baada ya kwenda simba
  3. Abuu Kauthar

    Kwenye Soka amewahi kutokea mtu muongo kama Haji Manara?

    Vipi kuhusu kauli ya ahmed ally kuhusu kustaafisha jezi namba 20 ya nungunungu?
  4. Abuu Kauthar

    Magari kutoka Singapore

    Angalia za japani, wajapani ni wastaarabu wanatunza magari
  5. Abuu Kauthar

    CHADEMA rekebisheni tatizo hili kwenye kipengele cha Dua/Sala za kufungua mikutano na kufunga

    Sasa yule shehena wenu kaomba vikorombwezo anavyovijua yeye alafu mnakuja kulalamika hapa then mnasema muislam yeyote anaweza kuomba dua? Hivi yale maneno baadhi aliyokuwa anatamka yule bwana kama wagalia mngekuwa mnajua maana yake hata ule mkutano usingeendelea
  6. Abuu Kauthar

    Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    Nakushauri pia ingia beforward ukawahoji maswali kama hayo kwanini wanauza yale magari
  7. Abuu Kauthar

    Car4Sale Brand New Howo Tipper for sale in Dar

    We are dealing with all heavy duty trucks and machinery. Come one Come all
  8. Abuu Kauthar

    Car4Sale Brand New Howo Tipper for sale in Dar

    SHENZHEN TIANYIYUN CO LTD OFFERS: 🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳 CAT 320D Year - 2020 Working Hours - 1400 Origin - Japan Shipping Length Of Unit 30.98ft in Shipping Height Of Unit 12.28ft in Max Cutting Height 32.62ft in Max Loading Height 22.77ft in Max Reach Along Ground 35.31ft in Max Vertical Wall...
  9. Abuu Kauthar

    Car4Sale Brand New Howo Tipper for sale in Dar

    SHENZHEN TIANYIYUN OFFFERS WIDE VARIETY OF ALL TYPE OF TRUCKS FOR RENTAL PURPOSE Brand new howo and shacman trucks available DUMPERS TRACTORS ADVANCE TO BE PAID OF MINIMUM 6 MONTHS. For more details call or visit my office at dar es salaam. +255656299246
  10. Abuu Kauthar

    Yanga toeni mapato yenu kabisa hadharani

    Pumba tupu umeandika, huon aibu? Yanga washamaliza mambo yao ambayo yalikuwa scheduled sasa ninyi wazee wa kudandia mambo kama katuni ya Rango mtapata wapi Kiki tena? Kazi mnayo
  11. Abuu Kauthar

    Mwijaku ana juzuu 30 ila maisha anayoishi hayaendani kabisa na elimu ya dini aliyonayo

    Inasomwa kuanzia miaka 3 nje ya nchi yeye alisoma Saudi arabia, kwa tanzania sidhan kama kuna chuo kitanoa degree
  12. Abuu Kauthar

    Mwijaku ana juzuu 30 ila maisha anayoishi hayaendani kabisa na elimu ya dini aliyonayo

    Yule mzee chiro alisoma hadi jami'ah kwa maana alkuwa na shahada kwenye masuala ya dini lakini akaishia kuigiza mchungaji sijui yuko wapi siku hizi
  13. Abuu Kauthar

    Muonekano Cynthia Rock, aisee hazeeeki. Yaani bado kigoli, mtoto mbichiiii

    Mkandara alikuwa anatumia Mathias Lewis hahhha
  14. Abuu Kauthar

    Simba wakopi jezi za Azam Fc

    Makolo kws kujisifu mpo vizuri ila jez za kawaida sana
  15. Abuu Kauthar

    Car4Sale Brand New Howo Tipper for sale in Dar

    Suzuki escudo 2005 model Mileage 63,000( original) Cif 5500 Car is in Dar
  16. Abuu Kauthar

    Car4Sale Brand New Howo Tipper for sale in Dar

    New arrival available Alphard 2004 model Mileage 100k+ Cif 4500 Car is at Dar
  17. Abuu Kauthar

    Car4Sale Brand New Howo Tipper for sale in Dar

    Nmekutext wasp mkuu
  18. Abuu Kauthar

    #COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

    Huyu bwana huwa anaandika vitu gani? Msaada plz
Back
Top Bottom