Search results

  1. Cobeles

    TETESI:Neema kuwaangukia wale wenye dv 1&2 na wamekosa mkopo.

    Daaa! Kama loans wameamua kurudia tena kutoa mkopo kwa wenye 1&2 itakuwa fresh maana watu wamekata tamaa yakuendelea vyuo kutokana hali za kimaisha za watu,ka vp wafanye kweli tena haraka mno.
  2. Cobeles

    heslb- kigezo cha shule sio!!

    Kigezo walichotumia bodi cha kuangalia shule aliyotoka mtu ni nzuri kwa sababu mtu mwingine toka primary amesoma xul za gharama na zenye ubora ambazo ni zaidi ya 1mil na aliweza kuhumudu lkn cha kushangaza chuo anakuja kupata mkopo 100% but ambae amesoma kwa shida tena kwenye shule ambazo hakuna...
  3. Cobeles

    2011/12 UEFA Champions League group stage

    Ndugu zangu wana JF Makundi ya uefa ndiyo tayari yamepangwa cc mashabiki wote wa timu zetu tusibiri kuanza kuburudika na kuhuzunika kutokana na tmu yako jinsi itakavyocheza(vizuri au vibaya) ktk hii round ya kwanza.
  4. Cobeles

    Taarifa kwa watakao chaguliwa na TCU

    Mfumo mzima wa uongozi tcu ni mbovu na kuna ufisadi ndani yake matokeo yake watu wasio na hatia kubaki dilema,soln ni kuvunjwa uongozi mzima.
  5. Cobeles

    TCU ni kama selection tayari!

    Habar Wana JF,nilikuwa naomba kujua kama ukikuta hakuna program ukiingia sehem ya kuadd,remov,change ina maana ukishamaliza kuadd ndio kusema unaweza kuapply kupitia hapo au huwez kuapply kupitia hapo mpaka sehemu nyingine?
  6. Cobeles

    Ni kweli TCU wametoa machaguo?

    Ni kwel tusibiri watoe vyuo vyote lkn je itakuwaje kama watachelewa kurelease wakat tareh Ya dedline ni 22/08/2011 cku ya J'tatu?
Back
Top Bottom