Search results

  1. B

    Arsenal agree Cesc deal with Barca August 14, 2011

    namtakia mafanikio mema kataka club yake mpya ya barcelona akaungane na wenzake the gunner imekuwa timu ya kukuza vipaji kama Ajax ya uholanz so the gunner ndo plan zetu acha madogo waondoke kama bodi wanapata faida awaoni fans wake poa iyo ndo gunner imekuwa kama siasa za bongo!
  2. B

    EWURA waridhia kupandisha bei mafuta, bei mpya hizi hapa!

    Tanzania sioni kama ni nchi ya kukaa kwa sasa baada ya bajet kupita wanatugeuka na kubandisha bei ya mafuta mie naona ufisadi ndo maana katibu mkuu wizara ya nishati Jairo anakuwa na kibuli cha kusema kuwa wabunge wanapga kelele tu i hope akuna serikal bali ni ufisadi unyanyasaji na urofa wa...
  3. B

    Rais Kikwete, toa tamko kuhusu mafuta: Tunaumia wananchi!

    Naona bora rais asiwepo tujue moja wala eura wanatutesa tu
  4. B

    Kamati Kuu CHADEMA yawavua Uanachama Madiwani 5 walioingia muafaka Arusha

    safi sana chadema atuna siasa za kubembeleza so ccm waige mfano.
  5. B

    Wabunge wa CCM wakutana saa saba, watambeba Ngeleja?

    ccm wamechoka leo iptl wameizma tena wanaptsha bajet iliweje wasubl 2015 wakipita tunashka mapanga
  6. B

    Rostam Aziz aachia ngazi CCM

    arudshe pesa za dowans ndo tuelewane kujivua gamba sio solution
Back
Top Bottom