Search results

  1. M

    Re: Tigo pesa hatari kwa kushirikiana na wezi wa mtandao

    Ndg wanajamvi mnaobwa kuwa makini na mtandao wa tigopesa ambao unaendelea kulalamikiwa na watu wengi kutokana na wizi pesa kwa njia ya mtandao, mimi binafsi imenitokea kama wakala wa tigo pesa ambapo kabla ya wizi huo kufanyika alifika supervisor kutoka tigopesa ambaye aliingiza namba ya wakala...
  2. M

    Hivi Vodacom wameamua kuwaibia Watanzania wazi wazi ?

    Kwa upande wangu ninaushahidi wa wizi unaofanywa na kampuni ya Tigopesa hasa kwa kuwaibia mawakala wa tigopesa kwa njia ya mtandao, watumishi wasiokuwa waaminifu wamekuwa wakiwapa wezi wa mtandao paticulars za wateja wao mfano salio la wakala na namba ya simu ya wakala, mimi imenitokea kwenye...
  3. M

  4. M

    Vigogo watupiana mpira kuhusu ‘vijisenti’ vya Chenge

    Kama unataka kujua kuwa hapa hatuna viongozi makini muulize ****** naye atakwambia kuwa alikuwa safarini south a.si unaona hata ishu ya yule katibu wa ngeleja mpaka leo inasubiri atoke safari!!!? Tafadhalini tunaomba mtupishe kama mnaitakia mema nchi yetu ninyi muendelee kutumbua vijisenti vyenu...
  5. M

    Shule kama jela.

    sio tu kama jela bali kama jehanamu kwani utakuta madent wamesongamana class huku wamekaa chini kila mtu akivizia hewa inayotoka kwenye madirisha yalikaa ka milango
Back
Top Bottom