Search results

  1. P

    Vijana Tanzania Amka Tupambane na Umaskini

    VIJANA TANZANIA! Kwa Asilimia ndio wengi (65% ya Watu Milioni 49) Na watoto ni wengi zaidi (44% Ya watu Milion 49). Taifa bado ni changa na Uchumi wake bado ni Mdogo mno. Kwa watu Milioni 49, Asilimia 91.8% karibu watu Milioni 44 ni Wategemezi Yaani Wazalishaji na Wanaotegemeza Taifa Ni Milion...
  2. P

    Vita vya wazalendo

    UZALENDO ni Pamoja na Kuwa na Msimamo kwa Yale Unayoyaamini Ni Mazuri kwa Taifa bila Kujali kwamba nani anakupuuza na kwa nini Anakupuuza. Kwenye Vita vya Uzalendo, Hata Marafiki Huwa maadui. Na wapo Marafiki ambao huanza kuhofia Hatma ya Wazalendo. Nia Thabiti na Moyo Shupavu Pekee Vifuani...
  3. P

    Nje ya Bunge hakuna Katiba ya Wananchi

    Uadui kwa taifa ni pamoja na kunyamaza wakati unajua ukimya wako unaangamiza wengi Watanzania, Ni siku nyingine tena ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwamba taifa bado ni moja na lina umoja ule tunaoufurahia. Tunayo amani Upendo na Furaha si kwamba vitu hivyo vilishuka kama mvua, kuna watu...
  4. P

    Bila Mbowe, Lipumba, Mbatia Slaa na Maalim Seif Kuachia Ngazi

    Demokrasia ya Vyama Vya Siasa ya Nchi Hii Haitakuwa, Endapo wafuatao hawataachia ngazi Nafasi zao za Uongozi kwenye Vyama vyao 1. Prof. Ibrahim Haruna Lipumba 2. Freeman Aikael Mbowe 3. Maalim Seif Sharif Hamad 4. Dr. Wilbroad Peter Slaa 5. James Mbatia. Sababu, Wamebana Demokrasia...
  5. P

    UKAWA Wapuuzwe!

    Leo Nitatumia maneno makali kidogo ili tuelewane kiurahisi. Wapinzani wa Nchi hii ni "BAPHOON". Maana ya BAPHOON ni Watu au Kundi la Watu linalotumika Kwa Maslahi ya Mataifa Mengine Kuangamiza Taifa Lao. Wako Tayari Hata Kuchukua Mabomu na kulipua Nchi yao Wenyewe. Hawa ndio wanaojiita UKAWA...
  6. P

    Makosa kumi kabla wakati na baada ya kususia bunge maalum la katiba.......!!!!

    Ndugu zangu Watanzania popote msomapo Makala haya: Wiki iliyopita katika makala yangu nilizungumzia Uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) hata bila ya kuwa na hati za awali za makubaliano ya muungano. Hoja yangu niliijenga katika misingi kwamba, Muungano wetu una misingi ya...
  7. P

    Hoja ya takwimu isitutoe kwenye mchakato wa Katiba...

    Katika mchakato wa kuandika katiba mpya. Bunge la katiba lipo katika hatua ya kamati kuwasilisha maoni yake juu ya sura ya kwanza na sura ya sita ya rasimu. Sura ya kwanza ina tambulisha Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuhusu jina, mipaka, alama, lugha, na tunu za taifa ibara ya (1-5)...
  8. P

    Mh. Mbatia, Takwimu za Mh. Rais Ni Takwimu za Tume! Umepotosha Umma na Hii si sawa...!

    Matumizi mabaya ya Vipaji yanaweza kughalimu Taifa. Mbatia ametumia ujuzi wake wa kuwasilisha mada kupotosha, bunge na Umma na kutumia Takwimu Vibaya kwa matumizi yake binafsi. Sote tunatumia Takwimu zilizotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba na hakuna nyingine. Kwa kutumia kipaji chake...
  9. P

    Uzalendo wa kweli

    Maisha yana KANUNI Nyingi ambazo kila Mmoja anapitia kivyake......!!! Usijali Uko wapi Leo, Ipo SIku Utalibeba Taifa na Utakuwa Wategemewa. Watoto ambao Wanaishi Mazingira Magumu (Mnajua Vema Maana ya Mazingira Magumu) ama Tunaita watoto wa Mitaani, Leo Wamelibeba Taifa Huko BRAZIL kwa...
  10. P

    Uhalali wa muungano bila hati ya muungano

    Uhalali wa Bunge la Katiba Bila Hati halisi ya Muungano Wajibu wa Vijana kwa Taifa ni Kuleta Tija kwa Taifa na Kuwezesha Vijana wengine wasio na fursa kulinganisha na fursa tulizo nazo. Wajibu wangu nikiwa Kijana ni kuhakikisha Taifa hili linaendelea kukua kiuchumi, kijamii na kisiasa bila...
  11. P

    Kura ya elektronik ndio inafaa

    Tukielekea Kwenye Mjadala wa Leo Jioni Hii: Tumekaribia kufikia makubaliano ya jinsi ya kupiga kura ya maamuzi. Makubaliano yoyote yawe kwa misingi ya kulinda maslahi ya taifa na heshima ya bunge hili. Pamoja na kuwa watanzania wengi hawatuelewi katika mijadala yetu kama kweli tuna nia thabiti...
  12. P

    Mkutano na waandishi wa habari; Salamu za pongezi kwa rais Jakaya Mrisho Kikwete

    Wana Jamii! Haya ndiyo niliyozungumza na Waandishi wa Habari leo Hapa Dodoma. Vyombo vya habari (Magazeti, Redio na Televison), Salamu hizi za pongezi mnaweza kuzitumia vyovyote mtakavyo, kama Habari au Makala au kuweka kama sehemu ya documentaries zenu. MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI SALAMU...
  13. P

    UVCCM Dodoma wazindua mbio maalum za pikipiki zenye lengo la kuhamasisha uzalendo!

    Leo Tarehe 22/03/2014 katika Manispaa ya Dodoma, Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), tumezindua mbio maalum za pikipiki zenye lengo la kuhamasisha uzalendo miongoni mwa vijana na kuibua fursa zinazopatikana maeneo mbalimbali ya Tanzania. Mbio hizi maalum zimezinduliwa na Rais wa...
  14. P

    Hotuba ya jk leo: Ni utulivu ama vurugu.............!!!!!!!!!!!

    Leo ni siku ya Historia kuandikwa. maana ni siku ambayo ama mwanga utaonekana ama giza litatanda sana. Ni siku ambayo kila aliye na uhai katika taifa hili anatarajia ya kwake kutoka kwa Rais wa jamhuri ya Muungano wa tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Ni siku muhimu kwa JK yaani, ni...
  15. P

    Wapinzani hawana sifa za Kuongoza nchi. (comparison analysis)

    Siasa ama chama chochote cha siasa ni zao la falsafa. Kuwa Mwanasiasa bila kuwa na falsafa ama kuwa na Chama cha Siasa ambacho hakina msingi wa falsafa ni kasoro kubwa ambayo hufanya mwanasiasa ama Chama Cha Siasa kutofanikiwa katika lengo lake kuu. Kukosa falsafa kunasababisha Mwanasiasa ama...
  16. P

    Vijana Njooni CCM, ndoto zenu zitatimia

    hiyo mifano ya watu niliyoitaja ni wanachama wa CHADEMA..??? kuna nini chadema hata nishawishike kuhamia..? nitajie vitu vikuu vitatu tu..!!
  17. P

    Vijana Njooni CCM, ndoto zenu zitatimia

    Nashukuru kwa comment, but its too less to respond...!!!
  18. P

    Vijana Njooni CCM, ndoto zenu zitatimia

    Nashukuru kwa kuwa pamoja na person attack kwangu ila pia umejaribu kuonesha Concern yako ambayo hata hivyo pia haina mashiko maana haijielezi ni sera zipi kandamizi ambazo CCM inazo ambazo hazijali wananchi masikini na wanyonge wa Nchi hii. Ama kuhusu tuhuma kuwa CCM ni majambazi na chama...
  19. P

    Vijana Njooni CCM, ndoto zenu zitatimia

    mjinga mjibu kwa kiasi cha ujinga wake....kwani mtoto wa mwanasiasa anakuwa mwansiasa kwa hiyari au analazimika tu.?
  20. P

    Vijana Njooni CCM, ndoto zenu zitatimia

    Kama mpaka leo haujajua mafanikio ambayo tayari vijana hao niliowataja wameyafikia katika umri wao kisiasa basi naomba ukubali kuwa uko mbali sana na habari za kisiasa na matukio yake, na sidhani kama hata uwepo wako hapa kwenye jukwaa la siasa la jamiiforums kuna maana yeyote. Miongoni mwa...
Back
Top Bottom