Search results

  1. EJM_

    Wanaume wa JF: Who is hot, who is not?

    You have been missed sana this side as well. M happy I got a glimpse of the old Lizzy (The chakaramu alta ego) 😂 Zile kesi unapataga halafu huelewi ziliyokeaje ndio the doing ya Lizzie sasa
  2. EJM_

    Wanaume wa JF: Who is hot, who is not?

    Dr Lizzy habari ya miaka? Sasa huyo alta ego ni Lizzie au Lizzy maana naona kama wako 3
  3. EJM_

    TV4Sale Nauza TV LG LED 43inch Tzs 350,000

    Hapana mkuu ongeza kidogo
  4. EJM_

    TV4Sale Nauza TV LG LED 43inch Tzs 350,000

    Dah hapana mkuu ongeza kidogo
  5. EJM_

    TV4Sale Nauza TV LG LED 43inch Tzs 350,000

    Habari, nauza TV yangu baada ya kubadilisha na kuwa na nyingine hivyo nimeona ni busara kupitia hii. Brand: LG LED TV Size: 43inch Price: Tzs 350,000 Inafanya kazi vizuri sana with super clear pictures na saiti ya kutosha. Location: Dar ES salaam Contact: 0784977269 Karibuni
  6. EJM_

    Vitabu nilivyosoma 2023

    Mwaka jana 2023 niliamua pia kusoma vitabu vya riwaya za kiswahili ambapo niliegemea zaidi kwenye zile za ujajusi. Katika hizi niliamua kusoma riwaya za waandishi watatu 1. Calvin Mponda 2. Richard Mwambe 3. Patrick CK Kwa waandishi Hawa niliweza kusoma vitabu 9 1. Julai 7 - Richard Mwambe 2...
  7. EJM_

    Mikasa ya mahusiano ya shule

    Kichomi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. EJM_

    Mikasa ya mahusiano ya shule

    Bahati nzuri KUTIANA ni mojawapo ya basic needs za binadamu aliyefikisha umri stahiki
  9. EJM_

    Mikasa ya mahusiano ya shule

    Yaani ndio ulianza kunjunjwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  10. EJM_

    Mikasa ya mahusiano ya shule

    Kibungo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  11. EJM_

    Mikasa ya mahusiano ya shule

    Hayo mahusiano yalikiwa yanajulikana shule nzima kuna siku ikaitishwa kura ya shule nzima watu kutaja nani anatoka na nani. Kwenye hiyo kura na Mimi na pisi yangu tumo with flying colors [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila tuliponankwasababu mwalimu aliyekuwa anaendesha Hilo zoezi alikuwa...
  12. EJM_

    Mikasa ya mahusiano ya shule

    Hahahaa mwamba ulituangusha sanaaa yaani we ndio nalia badala ya pisi
  13. EJM_

    Mikasa ya mahusiano ya shule

    Hapana, ilikuwa tu kuwa pamoja muda mwingi nakumbuka we kissed mara Moja au mbili hivi. Na kuongea kwa simu (landline)
  14. EJM_

    Mikasa ya mahusiano ya shule

    So hii ilikuwa kuonyesha deep love eeh
  15. EJM_

    Mikasa ya mahusiano ya shule

    Leo nimekumbuka kitu nikacheka sana. Wakati Niko Std 7 nilikuwa na mahusiano ya kitoto na sista du mmoja hivi tulikuwa tunasoma darasa Moja. Sasa communication yetu ilikuwa kuandika barua halafu inawekwa kwenye daftari nyuma ya jaladio. Sasa Kuna kipindi tukawa na mgogoro halafu mi nikawa na...
  16. EJM_

    Kizazi cha sasa cha Rhumba nani mkali kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola?

    Haya mzee taratibu na Mea Culpa
  17. EJM_

    Kizazi cha sasa cha Rhumba nani mkali kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola?

    Haya mzee sindikiza na Marathon
Back
Top Bottom