Comments za watu acha tu. Ila nilipo complain kwa kutuma email niliweka hivyo vitu kama boarding pass, ikiwa na info zote. No one even tried to acknoledge hata kwa automatic email kuwa wamepokea. No.
Sidhani kama wana hiyo customer care. Nilipogundua nikatafuta contact za wahusika. Nikawatumia email, flight number na boarding pass. Hamna aliye respond ndio nikaamua nije huku kuweka awareness asiibiwe mwingine kama nilivyoibiwa.
Sasa kama naweza kupanda ndege bado unazungumzia chakula? Inaonyesha either you are not serious or your IQ haipo sawa. Chakula unazungumzia ni cheaper kuliko fueliliyonipeleka Airport.
Sijui kama unajua unachoandika. Nitoke huku nilipo kwenda kuangalia cctv? Unajua how to access cctv siyo kama unavyofikiria. Inaonyesha upeo wako ukoje either mkubwa sana au otherwise. Ni sensible ukiacha ku comment kuliko ulivyo comment.
Sidhani kuandika kitu kama hiki cha uongo nanufaika na nini. Najua sitavipata fine lengo langu kuweka awareness kwa wasafiri wengine kuwa pale si salama. Kama nadanganya wa track begi langu nimeli identify.
Nimetumia huu uwanja Tar 28.03.2024 nikienda Qatar. Nafika Qatar mashine yangu ya Pressure na perfume havimo kwenye bag ambalo nili check in. Aibu sana kwa Kweli.
Ukimsikiliza Majaliwa kuhusu sakata la upatikanaji wa DP World alionekana hajui analolijua maana alisema walienda kwenye maonyesho ndio wakamkuta huyu DP World kuwa anaweza kufanya kazi. Wakati mama alienda Dubai amejipanga kabisa kwenda kusaini mikataba. Kwenye sakata la Ndugai Majaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.