Search results

  1. J

    Je, unataka kufanikiwa katika maisha yako?

    Inavutia sana mkuu, nimesoma leo subuhi nimeona naguswa kabisa. Nimeangalia tovuti yake. Ana makala nyingine pia. So powerful. Elimu ka hizi ndo za msingi. Kila mtu anawaza maisha bora. Wengine tunaona wanapata kila siku. Kwa nn isiwe sisi?
  2. J

    Je, unataka kufanikiwa katika maisha yako?

    Ninaamini, nikutambua kuwa wewe ndio mwenye jukumu la maisha yako na kubadilisha fikra zako, na kutoa maswali ya labda na au? Na kuanza kujiuliza kwa nn ? Swali la kwa nn? Ndo unapata jibu. Ukitaka fanya jambo, fanya likifeli fanya tena, kwa umakini zaidi. Mie sio mhamasishaji. Najibu kwa...
  3. J

    Je, unataka kufanikiwa katika maisha yako?

    Shy land, mimi kwa mtazamo wangu, sidhani kama mafanikio ya mtu yanahusisha shule, na nakubali kuwa na elimu ni mwanzo mzuri wa kuwa na mafanikio. Tuna mifano mingi ya watu hawakupata fursa ya shule kama ilivyo sasa na wamekuwa wanauwezo kifedha kuzidi yule profesa, au mtu mwenye phd za...
  4. J

    Jinsi ya Kutimiza ndoto zako

    Nimekupata vyema paul
  5. J

    Take calculated risk!

    Ooh, nimefikiria sanaa baada ya kusoma. Asante sanaa kwa makala mkuu.
  6. J

    Naomba kufaham kuhusu GPSA

    Habari wana jamvi. Kuna jamaa yangu, ana kampuni ya usafi, ali omba maombi ya kusajiliwa na gypsa. Sasa majibu yametoka na amekosa zabuni. Kwa mujibu wa Gpsa, zabuni ni kuanzia mwaka 14/15/16/. Je? Inamaana atabidi asubiri mpka 2016 aombe tena?
  7. J

    Nini kipimo cha maisha bora? Maisha bora yana maana gani kwako?

    Habari zenu, kabla sijaanza kuelezea uzi huu. Mimi naamin,( God was very serious, creation ya ulimwengu, na vyote alivyojaza, alifanya kwa umakini mkubwa, hamna anaesema. Huu mlima au bahari, ingekaa upande wa mashariki na sio magaribi. Hivyo mimi kama mwanadamu, inanipasa niwe serious kwa...
  8. J

    Unaweza Lipwa Mshahara Wa sh/ Mil 1.5 Serekalini?

    Habari zenu! Kuna rafiki yangu, mmoja hana kazi, bado anatafuta, lakini anajitapa hawezi chukua kazi chini ya m1.5 especially ikiwa ya mkoa. Je ni kweli?? Serekalini unalipwa mishahara kama hii? Ikiwa ndo kwanza umetoka chuo? Kwa sababu navyojua mimi, mtu humchukua hata miaka 5. Kuja kulipwa...
  9. J

    Frame/office space needed kwa haraka

    Habari! Nahitaji frame au office maeneo yafuataywo..! Msasani, makumbusho, mwenge, kijitonyama, mikocheni na sinza..! Mwenye kujua wapi zinapatikana, tafadhali nijulishe. Bei isizidi laki 2.
  10. J

    frame/office space needed

    Habari wana jukwaa. Nahitaji frame au office space maeneo ya fuatayo. Mikocheni, msasani, kijitonyama, sinza, makumbusho. Bei isiyozidi 250.
  11. J

    Fursa ya uandishi wa vitabu.

    Habari wana Jf, naomba kujuzwa kuhusu fursa za kuwa mwandishi wa vitabu. Mfano:(novel, ujasiriamali). Je soko lipo?? La wasoma vitabu tanzania? Na taratibu zipi hufwata mpka kitabu kichapishwe. ?
  12. J

    Madhaifu 8 uliyonayo na watu hawawezi kukwambia

    Nashukuru ndugu. Bila shaka ni ya 1 na 4, hutofatiana kwa nyakati tofauti. (Familia/rafiki wanaweza wakajua tabia zangu na mimi zikazijua zao)
  13. J

    Madhaifu 8 uliyonayo na watu hawawezi kukwambia

    Habari wana JF! leo ni mara yangu ya kwanza kuandika thread humu toka ni join 2011, Nimekuwa msomaji mzuri sana wa thread mbalimbali, haswa zile zinazohusu maendeleo. mimi sio mwandishi wala sio mtu mwenye ujuzi yakinifu katika maisha.Nitazungumzia mambo 8 sisi sote hufanya makusudi au kwa...
  14. J

    webisite ya wanafunzi wa sekondari na walimu

    kaka wizara inashugulikia hilo swala.wataweka kila kitu ili wanafunzi na walimu waweze kupanua njia za kufaulu zaidi.
  15. J

    webisite ya wanafunzi wa sekondari na walimu

    habari zenu...!wakati niki sirf kwenye tovuti mbalimbali nimegundua kuwa kun awebsite ambayo wanafunzi na walimu wanaweza kuitumia inaitwa www.SONGOKA.COM sasa kama wadau wa elimu jaribu kuangalia jinsi gani mnaweza kufanya websitre hii iweze kukuwa na wanafunzi wapu nguze matumizi ya facebook
Back
Top Bottom