Search results

  1. T

    Nina kampuni ya Clearing and Forwarding nahitaji mdau wa kufanya naye kazi

    Hapana ndg, kinacho hitajika hapa ni mbia wa kufanya kazi pamoja.
  2. T

    Nina kampuni ya Clearing and Forwarding nahitaji mdau wa kufanya naye kazi

    Ndg uliyeweza kufanya upendo wa kufanya marekebisho kwenye kichwa cha habari nakushukuru sana. Nimebeba dhamana kama mwenyeji kwenye tangazo hili, mwenye kampuni ni ndg yangu, document zote ziko sawa, kampuni si ya mkononi, ina ofisi tena kwenye jengo linalojulikana. Namba hii 0754750006...
  3. T

    Nina kampuni ya Clearing and Forwarding nahitaji mdau wa kufanya naye kazi

    Samahani ndg zangu nimeshindwa kupata access ya kufanya masahihisho kwenye kichwa cha habari. [QUOTE="Echisute,
  4. T

    Nina kampuni ya Clearing and Forwarding nahitaji mdau wa kufanya naye kazi

    Kama ambavyo nimeandika hapo juu, nilipata Neema ya kufungua kampuni ambayo imepata usajili mwaka huu, ina vibali vyote. Nahitaji mtu aliye tayali ili kufanya kazi pamoja. Kampuni ni mpya na ina ofisi kati ya majengo makubwa mjini kati Dar es salaam. Taarifa nyingine zaidi kwa aliye tayali...
  5. T

    Kutokuwepo magari ya UDA barabarani Dar nini tatizo?

    Leo karibu jiji zima la Dar hakuna magari ya Uda karibu njia zote ambazo zimekuwa zikitumiwa na magari hayo. Tetesi zilizopo ni kwamba, mmiliki amepewa muda ajitokeze. Kwa anaye jua taarifa juu ya hili atujuze. Magari haya yamekuwa msaada hususani kivukoni na mnazi mmoja ambako magari...
  6. T

    Nakshi nyumba yako kwa finishing na Crystone paint

    Karibuni wadau tuwapambe.
  7. T

    Ikiwa ukali wa Mbwa unatokana na mwenye Mbwa, basi Hosea kaonewa

    Kuna msemo usemao, ukali wa Mbwa unatokana na mwenye Mbwa. Ikiwa ndivyo nathubutu kusema Hosea kaonewa.
  8. T

    Siku ya UHURU wa Tanzania bara (9/12): Yaliyojiri maeneo mbalimbali kuhusu kufanya usafi

    Nimeshuka hivi punde uwanja wa Mwalimu Nyerere Dar es salaam. Nashangaa kila ninakopita naona hekaheka za usafi, nikamuuliza mwenzangu aliyekuja kunipokea, je! Obama anakuja tena? Nakumbuka Obama ni rais pekee aliyepewa heshima ya kusafishiwa mazingira. Akasema hapana hili ni agizo la rais...
  9. T

    Kasi ya Magufuli: Hospitali kuu Ya Taifa yapata mashine mpya ya kisasa ya X-Ray ya kisasa

    Kuiba Maji ya kwenda kuzima moto unaotaka kuteketeza Nyumba ya jirani ni kosa?
  10. T

    Je! ni kweli kwa matumizi ya fedha budget ya Shetani ni kubwa kuliko ya Mungu?

    Ndg zangu kwa wale tunao amini katika Mungu, kutokana na kautafiti niliko fanya nimebaini katika matumizi ya fedha fungu linalotumika kwa njia za shetani ni kubwa kuliko fungu linalotumika kwa njia za Mungu. Ebu tutafakari hili. Je! ni kweli kautafiti haka?
  11. T

    CCM yakata tamaa kwa ushindi kupitia sanduku la kura, lilobakia ni mipango ya kuhujumu Uchaguzi

    Ukweli ni kwamba haki itatawala na amani itasimama, atakaye aminiwa na wananchi ndiye atakaye pewe kiti.
  12. T

    Mmarekani na Mchina kama wangepewa nafasi ya kupiga kura nani angepia chama kipi?

    Ndg zangu kuelekea uchaguzi nimekuwa nikijiuliza swali hili. Tunafahamu vyema kuwa mataifa haya mawili ni washirika wa kuu kwenye maendeleo ya taifa letu. Sipendi kuamini kuwa hawa ndg ni watenda mema na kuondoka zao, kwamba si wa kungoja shukrani. Kama ndivyo bado kwa upendo wao kwetu...
  13. T

    Utabiri: UKAWA Kuibuka washindi dhidi ya CCM. Kikwete kusalimu Amri kwa Lowassa

    Kama nilivyo tabiri, tuna siku chache yatimie yaliyotabiriwa.
Back
Top Bottom