Search results

  1. Jr David

    Masauni: Rais Magufuli Kuhudhuria Tamasha la Usalama Barabarani Agosti 5, 2017 Uwanja wa Uhuru DSM

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Mh. Mhandisi Hamad Masauni (MB) amesema kuwa Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MH. DR. JOHN POMBE MAGUFULI atahudhuria na kushiriki katika Tamasha kubwa la Usalama Barabarani linalotarajiwa...
  2. Jr David

    Ukweli kuhusu naibu Waziri Silima jijini Tanga, wiki ya nenda kwa usalama barabarani

    JANA Jumatatu Agosti 3, 2015, kuna mtoa mada mmoja aliipotosha jamii kwa kusema uongo kwa viongozi wenye nyadhifa kubwa Serikalini. Mtu huyo mwenye akili za kijinga ambaye hafai kuigwa na jamii alisema kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima wakati akitoa hotuba yake...
  3. Jr David

    Mikakati ya Tanesco kuhusu mgao wa umeme

    Hakuna jipya hpo,miradi kibao utekelezaji zero!
Back
Top Bottom