Search results

  1. L

    Mwenyekiti ccm atuhumiwa kulawiti

    Na kisha kapewa dhamana?!
  2. L

    Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

    Apigwe tu zitto, maana tumechoka sasa! .................... Duhhh ebu ona walivyonitolea mimacho wafuasi wake doh, msinitoe roho jamani namaanisha kupigwa chini sio ngumi wala fimbo!
  3. L

    My Apologies To Mh. Kapuya Na Wengine Wote We Should Follow The Apology Avenue: We Were Wrong!!

    Yaani ningekuwa wewe ningekaa kimya kuliko kuja na ujinga ambao unajua kuwa ni ujinga!
  4. L

    Marais Museveni na Kenyatta waishangaa Tanzania

    Alitaka kuwa rais wa kwanza wa EAC naona umri unamkanga keshaona hatoweza tena nafasi hiyo ndio maana ya visa vyote kwa wadogo zake!
  5. L

    Masikini mazingira yetu Tanzania

    Wadau leo nimeona nizungumzie jambo muhimu kuhusu mazingira yetu Tanzania ambayo yameachwa yatima inavyoonekana sasa. Nasema ni yatima kwa sababu tangu kupitishwa kwa sheria ya mazingira mwaka 2004 pamoja na kuanzishwa kwa baraza la mazingira lakini bado uharibifu wa mazingira umezidi kuwa...
  6. L

    Mbunge aliyeolewa na kinda ajibu tuhuma! Ni aibu mbunge kutamka haya maneno!

    Nakuunga mkono sana smile, huyu kijana alibeba shida zake kwenye mfuko wa rambo akamtumia mama wa watu, sasa anajiona kesha win maisha anaamua kumchafua mama wa watu! si bora angejiondokea kimyakimya kwa sababu kampata huyo polisi? Mama pole sana najua wewe ulikuwa na nia njema na huyo kijana na...
  7. L

    Nani Mkweli Juu ya Mauaji ya Polisi Ngara?

    Sasa polisi akiwa mkweli hiyo rushwa ataipataje?! mimi niliswekwa lupango juzijuzi hapo chang'ombe kituo cha kanda ya temeke, wallahi niliyoyakuta humo balaha! sero zimejazwa watuhumiwa wa kesi ziso kichwa wala miguu eti kuingia bure kutoka pesa. Tena mkuu wa kituo ndio anaongoza mashambulizi ya...
  8. L

    Wanaume wengi wanaotafuta wachumba humu ni balaa...!!

    Kwani siku hizi kuna kuoana basi? jus chakachuas zen mambo mengine yatatokana na kunogewa au kuendana kitabia na mwenendo ndo ndoa yaweza kuja, lakini habari ya kuoana direct ilikuwa zamani enzi za wanawake ma bikra na wanaume waseja.
  9. L

    Bwana Afya Kukingia kifua wachafuzi

    Kuna Bwana afya Kata ya Kariakoo kwenye Manispaa ya Ilala anatishia usalama wa kazi za kiafya, yeye yuko na maafisa afya wenzie wawili yaani jumla ni watatu kwenye Kata hiyo isipokuwa yeye ni mwenyeji kuliko wote, Kwa kutumia kigezo cha kukaa sana amejijengea mazingira ya kuwalinda wafanya...
  10. L

    Jaji awashauri waliomshtaki Askofu Kakobe kuondoa kesi

    Bwana mkubwa tuambie Kakobe Uaskofu alipewa na nani?! ordaining ni mtu kutiwa ukuhani kwa kupakwa mafuta ili ukatangaze neno na kutenda kazi ya Bwana muumba ndivyo maandiko yanavyosema toka enzi ya akina Daudi. Sasa mtu kasajili NGO yake baada ya kushindwa venchurs nyingine kama vile Disco na...
  11. L

    Msaidie Mdogo wetu Tafadhari

    Jamani sijampata ndugu yetu na wala sio kwamba nimeleta mada nikakimbia tatizo sina uwezo wa kuingia kwenye net cafe kila mara, pesa sina. Nilifuatilia kwa yule Baba kumuomba simu ya mwanamke wake akakataa kunipa ila nilipomwambia kuwa nimepata ushauri kupitia jamii forum akasema hata huyo mkewe...
  12. L

    Msaidie Mdogo wetu Tafadhari

    Ahsante kwa kujitokeza kutusaidia Mdogo wetu hana simu ila huyo Dada aliyempeleka huko anazo simu ngoja nikamuombe huyu jamaa yake wa Dar akinipa nitaziweka hapa kwenye maelezo yangu. Ahsante tena sana kwa moyo wako mwema.
  13. L

    Msaidie Mdogo wetu Tafadhari

    Habari zenu wana jamii forum, Mimi nimetumwa kwa niaba ya familia yetu nijiunge humu ili kunusuru ndugu yetu aliye katika hatari ya kupoteza maisha. Mkasa wenyewe uko hivi; Tuna mdogo wetu aliyevushwa na Dada mmoja kwenda Kenya kumfanyia kazi za ndani. Baada ya kufika huko wakakorofishana...
Back
Top Bottom