Search results

  1. Quirine

    Logistic and Transport Management, National Institute of Transport

    kasome ila field kafanyie clearing and forwading company ndo zinaajiri sana na utapata competency za uhakika huko vinginevyo andika maumivu
  2. Quirine

    Graduate recruitment

    walienda kufundishwa kuhusu ujasiriamali ndugu yangu si kupata kazi ya kuajiriwa
  3. Quirine

    Kama field ndo hivi ajira je?

    na hii kasi ya upinzan wa chadema kuiwajibisha serikali hali itakuwa ngumu sana kwan hata hapa ofisin kwangu kila fieldstudent liyekuja ameletwa na mtu reputable kumrecomend barua ya chuo ni kitu cha ziada tu.
  4. Quirine

    Kama field ndo hivi ajira je?

    tatizo la wanafunzi wanavujisha sana siri za ofisi ili upate field inabidi ufaamike vizuri ama sivyo utakuja kushinda na kurudi nyumbani huwezpata fanyia kaz confidential information, hawataki kukutana na siri zao kwenye magazeti
  5. Quirine

    maandamano kwa jobless

    Yafanyike ili kuonyesha tatizo halisi, mwenye kazi ndo anayepinga hilo sio kutudanganya kwa takwimu zisizo na tija, "ashibaye hamjui mwenye njaa"
  6. Quirine

    after having sex

    inapata upepo ili iwe ya baridi kupoza injini
  7. Quirine

    The fastest man ever!

    hii kweli ni just a joke
  8. Quirine

    Mambo ya FEDHA ni noma...Aisee

    jitoe muhanga watu wafurahi, safi sana hii
  9. Quirine

    Kama wewe mchaga usifungue sred hii

    Haya bwana wewe ni noma
  10. Quirine

    chuma chuma chumaaaa chuma chuma dedeeee

    Hii muhimu ili waspunguze kutudanganya bila ku acknowledge, wamezidi plagiarism
  11. Quirine

    dah! ualimu kazi sana, hebu msikilize huyu denti

    Unafaa kuwa mwalimu ndugu
  12. Quirine

    vp crdb na nmb?

  13. Quirine

    vp crdb na nmb?

    peleka cv hata kama hawajatangaza kazi wakikuona unafaa watakuita
  14. Quirine

    vp crdb na nmb?

    weni wanaajiri kwa kupitia recruitment agencies
  15. Quirine

    vp crdb na nmb?

    katika mia lazima uweke hata 20% wa kusambaza habari njema kwa wenye njaa
  16. Quirine

    Tukubali au tukatae ushirikina upo ktk kutafuta kazi...

    uko kazin ndo maana unatoa kauli hii, ashibaye hamjui mwenye njaa.
  17. Quirine

    Tukubali au tukatae ushirikina upo ktk kutafuta kazi...

    kumla kuku nsi kigezo kwamba hana sumu
  18. Quirine

    Tukubali au tukatae ushirikina upo ktk kutafuta kazi...

    kazi ipo ndugu, msimu huu wa kutafuta ajira kila fursa itatumiwa.
  19. Quirine

    Akipandishwa cheo je?

    anakuwa senior na kuwa msimamizi wa wenzie pia
Back
Top Bottom