Search results

  1. Chaser

    Majambazi yapora pesa mbele ya makao makuu ya jeshi la Polisi mda huu

    Naomba source, kwasababu hiyo ni numberplate ya kibajaji
  2. Chaser

    Kikwete anasubiri nini kumfukuza kazi Ngeleja?

    Kwahiyo unakiri kuwa huna Rais, ina maana ukisafiri kwenda nje ukaulizwa Rais wako nani, unajibu nini? Fikiri kabla ya kusema wewe.
  3. Chaser

    Heshima ya Mh Freeman Aikaeli Mbowe ndani na nje ya Chadema

    Speculation is rife here in Dodoma about Mr Mbowe's notorious addiction to Marihuana. I think he needs to clear himself from all sorts of this scandals before making any attempt to uplift CHADEMA's reputation.
  4. Chaser

    JK awashangaa viongozi CCM kupenda anasa

    Rais Kikwete amedhihirisha kuwa yeye ni mtu safi asiye na doa, lakini wanaomuangusha ni watendaji wake.
  5. Chaser

    Diwani wa Chadema Tangazo la Fiesta

    Hawa wenzetu naona wameshaanza kutofautiana, na hii ni dalili kuwa chama kina ufa mkubwa. Usije ukashangaa huyo diwani Geoffrey Kajigili akampinga Mbowe kufanya maandamano yao yasiyo na tija. Ha ha ha ha ha ha
  6. Chaser

    Sumaye: Mafisadi lazima watoswe

    Mhe. Sumaye nimejaribu kukupigia bila mafanikio. Nadhani katika harakati za kuimarisha chama chetu, tulipewa maelekezo ya kuacha kukurupuka na kutoa lawama nje ya vikao. Hii, bila shaka, inawapa nguvu hawa watu wa JF kuendeleza haka kamtandao kao na kukifanya chama kionekane kinadorora. Kama...
  7. Chaser

    Jaribu kugeuza JF/HOME OF GREAT THINKERS

    Ukigeuza neno JAMII FORUMS/ HOME OF GREAT THINKERS kwa mpangilio wa kuruka herufi moja kimahesabu utapata neno FREE MANSONS TAKE ON. Inawezekana hii ikawa sababu ya kubadilisha jina kutokaa Jambo Forums ili kuidrop herufi B?
  8. Chaser

    Wizi katika Vituo vya Mafuta!!!

    mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, waacheni waibe tu
  9. Chaser

    Waraka wa kuichafua Chadema wanaswa

    habari za kubuni kama kawaida
  10. Chaser

    Ushauri kwa wana CCM wenzangu

    Ndugu zangu, kidumu chama chetu! Nawapa pole kwa kazi ngumu, tunayoifanya bila kusinzia, kupeleka ujumbe kwa kueleza mazuri na mema ya Serikali yetu. Kazi hii haijawa na haitakuwa rahisi hata kidogo kwani wakati huohuo pia tunawajibika kuimarisha chama na kukipa nguvu zaidi. Ndiposa nawaandikia...
  11. Chaser

    Wabunge hawa wa CHADEMA

    Huyo Mbowe na Lema wamefanikiwa kugeuza ile MA kwenye neno CHADEMA kuwa Maandamano badala ya Maendeleo
  12. Chaser

    Haipendezi kukiita CCM chama cha magamba

    Hii inatokana na ustaarabu wa wana CCM, nchi za wenzetu chama hiki CHADEMA kingekuwa kimeshakuwa blacklisted
  13. Chaser

    CHADEMA Jibuni Hoja hii...!!

    majibu rahisi kwa swali gumu, umewashika pabaya mkuu, ha ha ha ha ha ha
Back
Top Bottom