Search results

  1. M

    Baada ya Rostam nani anafuata?

    chenge naona atafuata pia mr gamba ningependa ajivue na yeye
  2. M

    Rostam Aziz aachia ngazi CCM

    Mh hao mapacha wawili itakua c kujivua gamba bali kujichuna ngoz au kujinyonyoa kama kuku
  3. M

    Ndugai alipompiga mkwara Halima Mdee Bungeni Leo

    Jaman hawa ccm wamezidi lakin naamin vijana tukiamua tutaweza kuwapinga hawa wazee wanaodai wanauenzi ukoolon
  4. M

    Kipi kipimo cha mwanamke kujua kufanya mapenzi?

    hapana ila mapenzi c ngono tuu bali hata kutunzana na kuthaminiana ni mapenza hivyo kukatika wakat wa majamboz si kitu pasipo na aman na upendo ndani yake
  5. M

    Maamuzi magumu: The biggest joke of the century

    kwel jaman ruvuma ni umeme wa jenereta lakin mgao kila siku hlf uwekezaji nao unapungua kutokana na kutokuwepo kwa umeme mfano halisi ni tumbaku inalimwa ruvuma lakin kiwanda chake kipo morogoro halafu mbunge wao mheshimiwa nchimbi anahudhuria kila tamasha lenye asili ya starehe wakat watu wake...
Back
Top Bottom