Nakumbuka mkuu, lakini ndio ningetegemea kuwa angeingia Underground after that kwa sababu "King Pin" wakiaza kutokea tokea kwenye Matukio na habari mbaya ndio Mwisho umefika Bro!(Give 5yrs Max)
Kama ndivyo demu wako alivyokuambia basi basi Mkuu kazi unayo. Vicheche vilivyokubuhu ndio zao kutuma picha za matangao. Demu wa ukweli hatumitumi mambo yake ovyo...Unless hiyo picture uipige wewe mkuu!
From his quote; dirisha la mita moja na nusu upana na urefu wa mita tatu kwa shilingi Laki Moja kwa square meters ni (1.5 x 3) x 100,000 = 450,000
(450,000 x 18%) = 81,000(VAT)
450,000 + 81,000 = 531,000 Ndio bei elekevu Mkuu
Swala la heat itakuaje hapo. Hiyo tv itawaka kwa masaa machache tuu unleass chogo lote liwe nje ya ukuta na hapo swala la usalama na mvua litakuaje mkuu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.