Search results

  1. mustiss

    Iyovi: Madereva wa mabasi wachoshwa kupigwa picha na kulipishwa faini, watafuta muafaka Mikumi

    Mikumi panakera sana, yaani mtu ukae nyuma ya roli mwanzo hadi mwisho wa mlima likibuma unakuwa mgeni wa nani?
  2. mustiss

    Njooni tujulishane Film/ Movie/ Video yako ya kwanza kabisa kuanza kuangalia.

    Ya Yesu haikimbiliki tena kwa mtindo wa sinema, kwangu sikumbuki ipi ilifuata kati ya american ninja, escape from sobibor, no retreat no surrender, blood sport. Ila balaa enzi hizo kama sio ukumbini basi unapiga chabo dirishani kwny nyumba za matajiri!
  3. mustiss

    Historia ya Bongo Fleva na walioikuza tangu 1993

    Kulikuwa na wahindi walijiita Varda Arts, kuna kitu walikifanya kwny muziki wa bongo!
  4. mustiss

    Nahitaji fundi anayeweza kufunga injini ya toyota kwenye Vogue

    Hivi kuna uwezekano pia wa kufunga engine ya IG- vvti kwenye nissan skyline?
  5. mustiss

    SOLD: Mark 2 grand kali sana inauzwa

    Wakuu biashara ni ya ukweli, nimemalizana na mheshimiwa gari linaelekea songea kesho lipo vizuri sana
  6. mustiss

    Msaada spea za nissan skyline

    Habarini wanajamvi, ninaomba kujuzwa maduka nayoweza kupata spea za nissan skyline kwa dar es salaam.
  7. mustiss

    Msaada Kuhusu hii gari Skyline

    Msaada kwa anayeyajua maduka yenye uhakika yenye spea za nissan kwa dar es salaam!
  8. mustiss

    Ipe neno hii picha

    beautiful!
  9. mustiss

    Kivuko kinaingiza pesa mzuri per day

    wizi mtupu! wapunguze gharama za uendeshaji. kazi ya kuchana tiketi unakuta kuna midume minne imekaa, walinzi ni zaidi ya BOT.
  10. mustiss

    Igunga: Jinsi wakala wa CHADEMA alivyouliwa...

    hapo ndo tunapata picha BAKWATA ipo kwa maslahi ya nani!
  11. mustiss

    BAKWATA, Clouds FM huko mwendako siko!As-Salamu Alaykum

    kiukwel jamaa alitumia sana ukada wa ccm kuendesha kipind, pia ajitahid kufanya tafiti za kutosha kabla ya kuropoka upuuz wake.
Back
Top Bottom