Search results

  1. kakomya

    Uchaguzi Igunga: DC apata kisago kutoka kwa wana- CHADEMA

    Mungu walaani CCM, wafishe na uwatupe Jehenam wanakostahili wezi na vibaka wakubwa hawa, walaani mafisadi hadi kizazi chao cha 100; mashabiki wao wafe midomo wazi wafe wakiwa wamevimba matumbo kutokana na ulafi wao, watakaosalia mali zao ziyeyuke kama nta mbele ya moto wenye nyuzijoto kali...
  2. kakomya

    Kichwa kinauma, eti kibuku imelipa kodi kubwa zaidi ya Barrick!!!

    "Serikali zinazoongozwa na wala rushwa utaziona tu, zinakimbizana na kuwabana walipa kodi wadogo wadogo na kuwaacha matajiri bila kuwabughudhi" -Nyerere Ama kweli sasa namwamini hayati Mzee yule. Aliposema vile kwa kweli sikumzingatia sana, lakini sasa nimeamini. Takwimu zilizopo za walipa kodi...
  3. kakomya

    CCM kidedea Rungwe

    Aha! Mi nilidhani kuna jipya katika hili kumbe ni ile muvi ya ubakaji wa demokrasia inayoendelea? Ama kweli CCM maji ya shingo sasa. Naona wapinzani na haswa CDM wamewashika pabaya kila mahali.
  4. kakomya

    Wenye uchu walipotosha Azimio la Z'bar - Msuya

    It is long time now since such remarks could be heard from a former Nyerereian like Msuya. Many, including those who were long time Nyerere's political confidants like Kingunge, Mwinyi, Mkapa, to the incumbent Kikwete have since fallen off and have turned to be hegemonous bourgeoisie. The...
  5. kakomya

    Barua: Zitto akataa posho za vikao

    Ni ujinga kuwalaumu CHADEMA kwa kupokea posho waliyoijengea hoja ya nguvu kuifuta lakini mliwashinda kwa uwingi wenu wa kishetani. Kanuni za Bunge ni za "wengi wape" kwa mantiki hiyo kupokea posho zile si hiyari tena bali ni lazima kutokana na hoja yao kushindwa na wabunge wachumia tumbo wa CCM...
  6. kakomya

    Siku ya 'kifo cha CCM' wewe utafanya nini kwa furaha?

    Ukoloni wa hili dubwana CCM ni mbaya kuliko utawala wa kikoloni. Jambo la muhimu ni kufanya juhudi ili hilo likamilike, mengineyo baada ya hapo. Binafsi baada ya kuhamasisha watu zaidi ya elfu kwenda kuikataa CCM kwenye sanduku la kura na kufanikiwa, ntahakikisha tunaanza mapambano mapya ya...
  7. kakomya

    Jaman hali hii Bungeni!!....... enough is enough!!!!

    Thank you mghaka. What we are experiencing now in parliament is the testimony on CCM's imminent demise. CCM is currently undergoing political autolysis, that is a process of self destruction through the action of its own! It is now clear to many Tanzanians, even the die hard like I used to be...
  8. kakomya

    Jaman hali hii Bungeni!!....... enough is enough!!!!

    Tatizo ni "mission order" ya kuwadhibiti wapinzani waliyopewa hawa mavuvuzela wa CCM. Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa. Asanteni wapinzani, mmetuzindua kwamba haatuna Bunge isipokuwa jopo la wezi na matapeli lililoweka mfumo wa kujitetea kwenye mjengo. salamu zao watazipata 2015. Nadhani...
  9. kakomya

    Elections 2010 Natamani pawepo mdahalo kati ya Nape Nnauye vs Dr. Wilbrod Slaa

    Hakuna vigezo vya kumlinganisha Nape wala Mkama na Dr. Slaa mwenye dhamana ya zaidi ya watanzania milioni mbili u nusu (licha ya kuchakachuliwa na vibaka CCM) ni kumshushia hadhi kiongozi huyu wa kitaifa. Nape hajapata kuchaguliwa hata na watu elfu hamsini. Ni mhuni, mropokaji, na anafikiri...
  10. kakomya

    Tamko la SIKIKA kuhusu rushwa - Wizara ya Nishati na Madini

    Je kuna mtu ana mashaka kwa nini Tanzania imefika hapa ilipofika ; kwenye kiza totoro miaka 50 baada ya Uhuru, wakati takribani miaka 25 hivi iliyopita tulikuwa na umeme wa ziada? Jibu ni watawala wanafiki, wezi na mafisadi waliorithi utawala toka kwa Hayati Baba wa Taifa ambao kwa bahati mbaya...
  11. kakomya

    Kashfa ya Jairo: Malipo ya zaidi Billioni 1 kusaidia Bajeti ipitishwe - Adai MP Beatrice Shelukindo

    What dude is TAKUKURU? This stupid institute has been sitting idle while or country's riches have been looted by our corrupt leaders and had at times sided with the looters of our national property like Chenge who was once defended by the very Director who is telling us today that his institute...
  12. kakomya

    The 100Megawatt Syndrome

    Tatizo si mabomba au miundombinu ya kusambaza gesi, bali ni mikataba ya ovyo iliyofanywa na vibaka hawa ndani ya serikali ya CCM ambapo serikali haina hata chembe ya haki ya kuamua matumizi ya gesi inayovunwa nchini. Wahuni hawa waliafiki mkataba unaoligandamiza kabisa taifa letu kwa maslahi ya...
  13. kakomya

    Mwenyekiti tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) astaafu

    Shame on him! Heri kuwa masikini na huru kuliko tajiri na mtumwa! Jaji huyu ambaye tuliokuwa tunamheshimu kwa weledi, uaminifu na umakini wa hali ya juu enzi zake kamaJaji amejivunia aibu ya bei poa kwa kukubali kuwafanyia kazi wahuni wakubwa, vibaka wa demokrasia kina Kikwete na mwenzie Mkapa...
  14. kakomya

    Zitto umewadhalilisha Wabunge wa Viti Maalum CDM; Waombe Radhi

    Firstlady kumbuka unaandika mada itakayosomwa na ma-great thinkers na si watu wa vijiweni. Great thinker yeyote atakayeperuzi kwa makini thread yako atagundua uchochezi na ushari uliojificha kwa lengo la kuwachonganisha wana CHADEMA. Umeanza kwa kusema ati gazeti la Tanzania Daima ni la...
  15. kakomya

    Serikali yaamua kubana matumizi; Mbowe kashinda hoja

    Hata mimi kichwa cha habari kimenichanganya, maana sioni jinsi Mbowe anavyoingia hapa. Mwandishi wa thread hii angeeleweka vema kama angeandika " Serikali Yasalimu Amri".
Back
Top Bottom