Search results

  1. R

    January Makamba anamfanyia hujuma Rais Samia

    Waziri wa Nishati, January Makamba, anamfanyia hujuma za wazi Rais Samia Suluhu Hassan ili kutimiza ndoto yake ya muda mrefu ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hujuma yake ilithibitika wakati wa bajeti ya Wizara ya Nishati ya 2023/2024 jijini Dodoma wiki hii ambapo Makamba aligawa...
  2. R

    Kada wa CCM Shy-Rose Bhanji: JK umetuangusha, nchi sasa inayumba bila uongozi imara

    Shy-rose Bhanji, yule kada maarufu wa CCM aliyesimama kwenye mkutano wa UVCCM na kumwambia aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba, kuwa ameshindwa kukiongoza chama, sasa ameamua kumtolea uvivu MWenyekiti wa taifa wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, na kumwambia wazi kuwa sasa nchi imemshinda. Hii...
  3. R

    REVEALED: Mgao wa umeme kuendelea mpaka mwaka 2013!

    Maumivu ya mgao wa umeme yataendelea mpaka mwaka 2013 ambapo kampuni za Pan African Energy na Songas zitakapokuwa zimewekeza kwenye miundombinu ya kuzalisha na kusafirisha gesi ya ziada mpaka Dar itakayowezesha kuzalishwa kwa umeme zaidi. Cha ajabu na kusikitisha ni kuwa serikali imeagiza...
Back
Top Bottom