Search results

  1. F

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Ben Saanane tayari nangoja kilewo
  2. F

    Ushauri kwa waislamu Tanzania, hasa walio mtandaoni

    Pia anaeombewa ni mporaji mazuri tu wa wake za watu. Ndege wafananao huruka pamoja
  3. F

    Gwajima amtumia salamu CAG Prof Asad kufuatia ombi lake la kujengewa msikiti ofisini

    Wakristo Wengi ni wezi,wala rushwa na mafisadi. Fuatilia kashfa zote na Majina yanayo husks husishwa.
  4. F

    Bunge Litii Mahakama; Lisipotii Nani Aitii Basi?

    Is Mzee Mwanakijiji a Gay? No wonder
  5. F

    Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

    Sasa picha umeona pekee yako fesibuku. Unakuja huku JF kujadili, kwa nini msimalizane huko huko? By the way picha yenye we hatuioni...sasa tunajadili nini?
  6. F

    Ripoti ya PAC yaibwa Bungeni mpaka ya CAG iliyoko Dar!

    Nakushauri kesho uwahi Ibada ya kwanza ukatubu.
  7. F

    Ripoti ya PAC yaibwa Bungeni mpaka ya CAG iliyoko Dar!

    Mkuu yeriko umri wako hauendani na mambo haya. Leo Kutwa nzima unazusha mambo...hivi una taka nini? Stunt? Ulishawahi kuzusha sheikh Ponda kauwawa Morogoro, unazusha mwana sheria wa Zanzibar aliyetimuliwa na shein kaokotwa ameuwawa....hukuishia hapo... Hivi tatizo Lako Hua ni nini...
  8. F

    Elections 2015 Apson awatumia kina Bashe kuwachafua Membe na Jack Gotham

    Mkuu ni kishua sema toka MWAKA juzi kua Ben wa saanane ni kibaraka wa Membe. Na Yericko Nyerere huwa anataka kujiunga mitandao wa lowasa ingawa bado hajafanikisha
  9. F

    Mke wa Pinda azungumzia urais wa mumewe 2015

    Duuh Mh. Rais baby Mizengo PINDA
  10. F

    Ben Saanane, Kilewo na Tumaini Makene waenguliwa ujumbe Kamati Kuu

    NDUGU ZANGU AKINA MAKENE, SAA NANE HIYO NDIYO KAWAIDA YA MASHINDANO/ELECTION, IT DOES NOT MEAN YOU ARE NOT GOOD ENOUGH IT MEANS YOU ARE BEING PREPARED TO ENDURE MORE RESPONSIBILITY AND TO BE TOLERANT. I SINCERELY WISH YOU ALL THE BEST NA MSIVUNJIKE NGUVU FANYENI KAZI KWA NIA SAFI NA INSHAALLAH...
  11. F

    Ben Saanane, Kilewo na Tumaini Makene waenguliwa ujumbe Kamati Kuu

    Thanks for telling us Ben Saanane, kilewo na wewe U r not EXCEPTIONAL! Sasa kama mlijua ninyi ni mediocre kwa nini mlijitokeza kutaka kuwa wajumbe wa kamati kuu? Sasa mlitaka mkiue chama, sababu mlijua kabisa uwezo wenu mdogo n u r not EXCEPTIONAL! What if wewe na mediocre mwenzio ben...
  12. F

    Ben Saanane, Kilewo na Tumaini Makene waenguliwa ujumbe Kamati Kuu

    Umemsoma ben alivyoeleza sababu ya kuenguliwa? "Tuhuma za usaliti" hapa hakuna taratibu aliyovunja hata mmoja, tofauti na alipo gombea BAVICHA huku umri umempita hii ndo ilikua kuvunja kanuni... Awamu hii ametolewa kwa issue za kimaadili, kwamba msaliti, kwamba hawa muelewi yupo upande gani...
  13. F

    Ben Saanane, Kilewo na Tumaini Makene waenguliwa ujumbe Kamati Kuu

    Mke wa kilewo alimpinga mbowe na kusema hafai kua kiongozi wa umma wakati anashindwa kumheshimu mkewe wa ndoa. Refers to Dubai,Mbowe na Joyce Mukya scandal. Sasa kilewo ana suffer consequence za mkewe. Chezea mbowe wewe
  14. F

    Ben Saanane, Kilewo na Tumaini Makene waenguliwa ujumbe Kamati Kuu

    mkuu akina ben na kilewo hawakushindwa kwa ballot box, ingekuwa hivyo issue ingekua straight tu kwamba wapiga kura hawakuzielewa sera zao. Ila ni kua hawa vijana WAMETOLEWA kabla ya majina kufikishwa kwa wajumbe kupigiwa kura, na sababu ni kama alivo eleza ben mwenyewe " USALITI" Kwa maana...
  15. F

    Ben Saanane, Kilewo na Tumaini Makene waenguliwa ujumbe Kamati Kuu

    Ben Saanane huwa tuna mwambia kila siku HUTAKAA KUAMINIKA HATA SIKU MMOJA! ona sasa mwenyewe amekiri katika sababu za kuondolewa ni USALITI... (no.2 nina tuhuma za usaliti) Sasa leo mbowe ni wa kumuona ben msaliti? Leo slaa wa kulikata jina la ben baraza kuu kwa usaliti? Kwa hiyo Ben na zitto...
  16. F

    Ben Saanane, Kilewo na Tumaini Makene waenguliwa ujumbe Kamati Kuu

    Yericko Nyerere yupo mkuu ila ndo hivyo vijana wamekatishwa tamaa na maboss wao. Aligombea mwaka huu ka cheo flan hivi Lakini kabla ya kugombea aliibuka na uzi flani hapa jf akidai dr. Slaa umaarufu umeshuka, na mbowe apumzike awape wengine kijiti. Siku chache baadae akagombea cheo flani...
  17. F

    Ben Saanane, Kilewo na Tumaini Makene waenguliwa ujumbe Kamati Kuu

    Kwenye hiyo no. 4 kama uligombea uenyekiti bavicha mara mbili hukufanikiwa, unaposema utagombea NAFASI NZITO ZAIDI (kuliko hizi za bavicha na kamati kuu) Je una maanisha unakitaka cheo cha Mwenyekiti wa kudumu Mbowe? Haaaa Mulize chacha Wangwe,zitto na Mbarouk...
  18. F

    Ben Saanane, Kilewo na Tumaini Makene waenguliwa ujumbe Kamati Kuu

    mkuu Ben Saanane yupo kwenye denial phase....atakubali ukweli soon.
  19. F

    Ben Saanane, Kilewo na Tumaini Makene waenguliwa ujumbe Kamati Kuu

    hilo neno la mwisho kabisa, umemaanisha nini mkuu?.nakushauri uendekwa Rasta Simba aka kunoe kidogo
  20. F

    Ben Saanane, Kilewo na Tumaini Makene waenguliwa ujumbe Kamati Kuu

    Ni taratibu gani ambazo kila siku Msomi na mjuvi mkuu ndugu Ben Saanane anakua hazijui kufikia kiwango cha kuenguliwa kila agombeapo? Au cdm kuna secret circle?
Back
Top Bottom