These guy cant think straight.
Anafikiri wengine wote ni wasela wenzake.
Mkao tu wa hapo kikao cha si WA KIBIASHARA!
Hakuna karatasi lolote la kuchukua kumbukumbu au makubaliano.
Mtu ana chat na simu, no records za proceedings!
Bangi mbaya!
Baada tu ya Magufuli kufariki, mambo hayakuwa rahisi kama unvyofikiri.
Kina Bashiru, wanaohisiwa kuwa hata siyo wazawa wa nchi hii, walikuwa wametanda uongozini nchini.
Uraia wa magufuli wenyewe tatizo.
Baba yake unamfahamu?
Tupate quantities zinazohitajika, bei zake CIF Instanbul, vipimo vya ubora, lini maharage yanahitajika.
Sugu hana jibu lolote kati ya vigezo tajwa.
Huyu jamaa kaigia ghetto za wasela wenzake Instanbul.
Ukiniambia walikuwa wanajadiliana namna ya kusafirisha misokoto, labda.
Acha kutuganyana, kama uwezo wako kufikiri sawa na Sugu sema.
Kwanza Waturuki kwa taarifa yako si wazungu, sugu we!
Halafu bilateral agreements hazifanyiki vijiwe vya kahawa na wasela waliovaa vikaptula.
Sema Sugu kaenda tafutiwa dame mitaani Instanbul, tutakuelewa.
Mkuu hisia ni sith sense, haiongozwi na rational thinking.
Wengine wanasema machale yanamcheza mtu.
Huyu ndugu yetu Saba Sita macahe yake yanamfukuzia aingie ardhini ajifiche kwa mauti, ili wanaomtafuta na hawaonekani wasimpate.
Kama hiyo ndiyo akili ya kiaskari basi hata polisi/jeshi hufai kabisa kwa kukosa akili za kimsingi.
Nyumba na ardhi iliyopo hulindwa na umiliki unaotambuliwa kiserikali, yaani Hati miliki.
Kaburi linaweza kuondolewa muda wowote kwa maamuzi ya kimahakama, ndugu wakiliona hilo kaburi kuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.