Search results

  1. Mamaya

    Utegemezi wa Dunia sasa umeelekea Bara la Asia sio Magharibi tena. Kwa heri Umagharibi

    Tz lipo. Na kuna walimu walipelekwa china mwaka 2020
  2. Mamaya

    GB whatsap ndo nataka kupigwa ban

    Hamisha file zako kwenye gb wsp media fasta, yalishanikuta nikapiteza doc nyingi sana, switch to official wsp uhame na groups zako
  3. Mamaya

    Madai ya Janeth Shayo, Mkazi wa Uru, Moshi, kutosikilizwa

    Unataka jambo litoke polisi liende Wizarani? Hujui kuna vyombo vyenye mamlaka ya kushughulikia jinai au tuhuma za jinai?
  4. Mamaya

    Madai ya Janeth Shayo, Mkazi wa Uru, Moshi, kutosikilizwa

    Umenikosha sana Mh. Tunahitaji viongozi ambao wako open hivi
  5. Mamaya

    Lupiko

    Kviri
  6. Mamaya

    Tribute to Sanctus Mtsimbe: Sio tu ni smart kwa mavazi na muonekano, pia ni smart kwa mawazo, maneno, na matendo, na very smart upstairs!

    R.I.P , kwa hili andiko unaweza kukuta P ndiye Rick mzee wa masihara
  7. Mamaya

    Bwawa la Mwalimu Nyerere na athari kwa vijiji vilivyopo bondeni mwa bwawa hilo

    Kichwa chako kigumu sana,katembelee bwawa mojawapo kati ya mtera au kidatu utajifunza kitu
  8. Mamaya

    Maeneo maalumu yenye kitimoto nzuri Mbezi Beach Tegeta na Kunduchi

    Hv mnajua watu wako kwenye mfungo?
  9. Mamaya

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Anatakiwa kutumia charger ya simu kuipa moto bluetooth ,akitumia transfoma inakosa ground/eath
  10. Mamaya

    Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

    Afya amedominate hata morogoro, yaani kampiga gap hata udzungwa ambaye ndio nyumbani kwao
  11. Mamaya

    Nahitaji kujua wanapouza miche ya MACADEMIA.

    Tafuta mafinga,nasikia wanalima
  12. Mamaya

    TANZIA Mwimbaji kiongozi wa bendi ya Reggae ya Morgan Heritage, Peter 'Peetah' Morgan, amefariki dunia akiwa na miaka 47

    Kuna mtoto Gramp anaitwa Jemerre Morgan, yule ndio naona ana vocal kali karibia na peter
  13. Mamaya

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Aisee hii redio tulikuwa nayo
  14. Mamaya

    TANZIA Mwimbaji kiongozi wa bendi ya Reggae ya Morgan Heritage, Peter 'Peetah' Morgan, amefariki dunia akiwa na miaka 47

    Man still a man, im so lost, jamaa ameenda na sauti yake. Daaah leo ni siku ya huzuni sana kwangu, mnooooo!!!
  15. Mamaya

    TANZIA Mwimbaji kiongozi wa bendi ya Reggae ya Morgan Heritage, Peter 'Peetah' Morgan, amefariki dunia akiwa na miaka 47

    R.I.P. moja ya show kali kabisa ni Morgan Hertitage live in amsterdam. Jamaa alikuwa na vocal kali sanaaaa!! Nimehuzunika sana leo
  16. Mamaya

    Mabraza wa Kariakoo na dili zao

    Anaitwa Mohamed. T.Msangi
Back
Top Bottom