Search results

  1. S

    Ubora wa degree za UDOM na St Joseph

    na hayo hayo sababu ndo viongoz wa kesho mstakabhali wa nchi upo kwao..vyuo bor vipo DIT wapo safii,solution ni NACTE kwa st,joseph UDOM serikali itoe siasa mbona maelezo yalitosha kukufanya uone solution ni nn
  2. S

    Ubora wa degree za UDOM na St Joseph

    huelew lipi?ni kwamba NACTE wamesajili st.joseph bila kufatilia ubora wao hata wakienda kukagua wana toa taarifa kabla ya kwenda,hakuna facilities za kutoa degree na mazingira mabovu..balaa ukifatilia elimu za walim wao wengi si nzuri..UDOM serikali wanaendesha kisiasa watu hawasomi vile...
  3. S

    Ubora wa degree za UDOM na St Joseph

    vyuo hivi serikali inapotoka havina viwango tusiharakishe kwa kupata wasomi fake,St.joseph waalim fake last yr kulikuwa na doctorate moja tena kaondoka...nyingine ni principal hao wengine wahind wana masters za kuunga taarifa zilifika had kwa pinda ihakuna ufatiliaj..engineer alisoma EGM si...
  4. S

    St. Joseph St.Joseph. St. Joseph. na unyanyasaji wake

    wale chenga hamna kitu ni vile hatuna wahandisi na mgongo wa dini quality ya elimu pale chini wana admit hata EGM asome engineering,wanaleta usanii
Back
Top Bottom