Search results

  1. Y

    Waziri wa nishati tunakuomba usikilize kilio chetu

    Bado mapaka leo tarehe 17/10/2017 wana kitongoji cha kihilira kata ya bujugo bukoba vijijini ambao baadhi yao walichangishwa sh 20,000/=kupata umeme katika mpango wa awamu hii ya tatu jana waliambiwa kwamba zimeletwa nguzo chache kwa baadhi ya watu, na hawamu engine wasubiri away nyingine pindi...
  2. Y

    Kambaya wa CUF-Lipumba atiwa mbaroni

    Me mpaka nahisi pengine waathirika wanajua ya kwamba wata dead any time ndo maana wanafanya haya madude
  3. Y

    Waziri Angela Kairuki: Uhakiki wa vyeti haujafanywa kwa Viongozi walio katika nafasi za kisiasa!

    Hii njaa mbaya sana jamaa anaona bora watanzania waumie lkn yeye asifukuzwe kazi yaan we mama hauna hata hofu ya mungu kama kweli unalosema unania nzuri mungu akusimamie lkn kama ni tofauti hata ukoo wako utautesa
  4. Y

    Rais Magufuli, tunapaswa kuanza kutengeneza zana zetu za kijeshi kuanzia sasa kama Taifa

    Naona atangaza tenda za upinde na mishare soon hiyo huenda ikawa habari njema na viwanda vinafunguliwa ccm safiiiii
  5. Y

    MWANZA: Mwenyekiti Wazazi CCM adaiwa kutafuna Bilioni 18.9/=

    ndo kazi za watu walio feli hizo tanzania hoyee]
  6. Y

    Wakuu wa Mikoa na Wilaya ziwe ceremonial posts

    Kwa hiyo rais anataka hao vilaza anao wazid elimu yeye ndo na wao watuongoze sisi yaan ana piga auto pilot hii nchi kweli me nashauri hta urais tuwe tunachagua ma handsome na beautifuls tu ndo nchi itasonga
  7. Y

    Demokrasia ya CHADEMA ni double standards tumeona Bunda leo

    kaka/dada mimi ni mwenyeji wa bunda ninachoandika hapa na kile ulichoandika ni kama vile haujui unasema chama cha chadema ni cha wahuni walioteka fikra za watu,lakin unasahau kwamba kuna chama cha majambazi sasa jambaz na muhun nani mbaya alafu chadema waligundua mbinu chafu za kutaka kuwanunua...
  8. Y

    Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

    Umajua mimi siwezi walaumu sana hao watu wa tbc maana huwenda na wao wanapewa maelekezo na wakubwa zao ili walinde ugali wao,lkn naomba nitoe ushauri wa bure kwao kwa uelewa wa mtaanzania wa leo nawashauri si kila wanaloambiwa walifanye watumie na akili zao pia siyo za kuambiwa maana siku ukawa...
  9. Y

    Kwanini ITV haitangazi habari za ACT-Wazalendo?

    kwani wamekwambia itv ni tv ya bure akalipie matangazo kama wengine
  10. Y

    CCM amueni kati ya hawa wawili

    hao ni marais wa ccm siyo marais wa watanzai jaman mbona hamuelewi kiongozz wa wa kweli yupo ukawa
  11. Y

    Chifu Wanzagi amemkabidhi Makongoro Nyerere kifimbo cha Mwalimu kama ishara ya uongozi

    achen uongo bwana hiyo fimbo siyo ya baba wa taifa bwana ni fimbo nyingine alipewa kama silaha ya mapambano ya siasa
  12. Y

    NSSF ipo taabani kifedha

    yale yale kuchukua pesa kwenye mifuko ya kijamii ndo yalifanya National Insurance [SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA] kufa kibudu.
  13. Y

    Zitto tuambie mchango wa Kigoma

    kaka/dada leo hii tanzania tuna miaka 54 ya uhuru ukilinganisha lasirimali zetu tulizonazo kushangaa kigoma kuwekewa rami na umeme unakuwa kama ni zuzu flan hivi kwan haya mambo yote yalitakiwa kuwepo mda mrefu na siyo kuyaona kama maajabu.
  14. Y

    Noti ya shilingi mia tano kubadilishwa kuwa sarafu

    bora hiyo ndugu zangu kuwen wapole tu je wangezema watubadilishie jinsia?
  15. Y

    Natangaza rasmi...

    Wanaamia chama kipi hebu twambie au kile cha vibaka waporaji nin?
Back
Top Bottom