Search results

  1. Cha Moto

    Nahoji kwanini gharama za hoteli ambazo mabasi ya mikoni huingia ni kubwa sana?

    kilimanjaro food take away pale korogwe ni weziii tu chakula 7,000/- hakina radhaa na hakuna sehemu ya karibu kununua ni kama unyang'anyi tu fedha za abiria
  2. Cha Moto

    Kasesela azungumzia picha zake zinazosambazwa mitandaoni

    cha msingi ni kutathmini anachofanya kuisaidia jamii na sio kuleta siasa hata kwenye masuala ya msingi
  3. Cha Moto

    Malcom X: Ni kipi kirefu cha hiyo 'X'?

    Malcom Little alikuwa ni mkristo, na alipobadili dini kuwa Islam, ndipo alipobadili jina na kuwa Malcom X. Si sawa kuwa alilikataa jina na Little kwa maana kuwa ni la kitumwa. Hata Cassius Clay alipobadili dini na kuwa muislam, awali alijulikana kama Cassius X, kabla kujulikana baadae kama...
  4. Cha Moto

    Ubaguzi wamponza Donald Trump, wapitisha azimio kumzuia kuingia Uingereza

    Anajitahidi kufanya dunia iwaze tena! Anaongea ukweli uliomchungu sana, na ambao watu hawapendi kuuongea wanabaki nao moyoni, yeye kaamua kuusema, ukweli. RIP Mtikila.
  5. Cha Moto

    Kaka hana uwezo wa kupata mtoto, je naweza kumsaidia kumpa mkewe ujauzito?

    ingekuwa mko kijijini na ni zamani hili jambo linawezekana na linaongelewa na wazee wa kimila na unamsaidia kaka yako, lakini kwa maisha ya sasa na tena mjini sina uhakika. pia inategemea asili yenu, namaanisha kabila, kuna makabila yanapractise hata sasa
  6. Cha Moto

    Je, Polisi wakiua ni sawa?

    kama hakuna uwezekano unafanyaje? unamuacha aende zake?
  7. Cha Moto

    Natafuta shamba la kununua Arusha

    kuna eka moja maeneo ya sakina, freedom lodge
  8. Cha Moto

    Polisi Tanzania inanuka rushwa

    Usilalamike mwannchi Mtoa na mpokea RUSHWA wote wamefanya kosa Na wewe pia umefanya kosa, badala ya kuwakamata wakati wanapeana rushwa unakimbilia JF Siku nyingi piga kelele hapo hapokisa uje JF
  9. Cha Moto

    Mtikila aomba kuunganishwa kesi ya Kafulila

    Duuuh! Yaani badala ya kuongelea mada, unaongelea mambo binafsi ambayo hayahusiania mustakabali wa fedha za wa Tanzania! Sidhani kama una msaada kwa Tanzania na watu wake maskini wanaonyonywa.
  10. Cha Moto

    Ni lini "wenzetu katika imani" nao watalaaniwa kwa Mauaji?

    Ni kweli kabisa ulichoandika mtoa mada, Wakiua wao, ni JIHADI wakiuliwa makelele hai makoo yanakauka
  11. Cha Moto

    Hakuna picha yoyote inayomuonyesha N.Meena akiwa USA

    Nia ni kuwatoa waTZ kwenye mawazo ya KATIBA mpya na fedha za ESCROW.
  12. Cha Moto

    Why Slaa must not resign, CHADEMA house is no longer crowded!

    Achana na mambo yasiyokuhusu, zungumzia CHAMA ulichokuwamo jinsi kinavyoendesha mambo yake, kwa kukosoa au kusifia, lakini mambo ya wengine hayatakusaidia kujiimarisha zaidi unajidhalisha tu, we mtoa mada. Pangua hoja za ESCROW, ufisadi CCM na serikali yake, EPA, na kulazimisha rasimu ya Katiba...
  13. Cha Moto

    Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa?

    Nasikitika sana kututukana Wanyakyusa! Lakini naona kama una tatizo na hili kabila letu, na kuwa kuna uwezekano umetendwa na mmoja wetu basi umeamua kutumalizia wote na hasira zako, pole sana. Nahisi hata dhamira inakusuta, maana unajisahau kuwa Wanyakyusa nao ni binadam wana tabia zao binafsi...
  14. Cha Moto

    Kama Ni Utajiri Angekuwa Tajiri Wa Kutupwa,Kama Ni Pesa Usiseme,Lakini Hazionekani-SALIM A. SALIM

    Katika post yako umeuliza nanukuu "tafuta popote pale huwezi investment ukaambiwa ni yake,sasa yeye aliwekeza wapi??" nimukujibu nilivyosikia na kama ulivyouliza ............. sasa hapa unauliza swali lingine kama nilimuona akienda kwake? Hebu basi niambie unachokitaka nini? Kumtete, kukanusha...
  15. Cha Moto

    Kama Ni Utajiri Angekuwa Tajiri Wa Kutupwa,Kama Ni Pesa Usiseme,Lakini Hazionekani-SALIM A. SALIM

    1. Alikuwa na hisa katika umiliki wa malori ya MWANAMBOKA
  16. Cha Moto

    Kama Ni Utajiri Angekuwa Tajiri Wa Kutupwa,Kama Ni Pesa Usiseme,Lakini Hazionekani-SALIM A. SALIM

    1. Alikuwa na hisa katika umiliki wa malori ya MWANAMBOKA
  17. Cha Moto

    Ni nani huyu Cool 9 Jamani?

    Kiboko msheli lilikuwa kundi la Magomeni enzi hizo, huyu Cool 9 alikuwa Manzese Pia kulikuwa na gangwe mmoja akijulikana kama KALA MZUVENDI maeneo ya Magomeni makanya, kondoa, kagera nk.
  18. Cha Moto

    Sio uungwana kutusi dini ya mwenzio

    Sio BUSARA hata kidogo kukashfu au kutukana IMANI ya mtu mwingine, Kama unahitaji mtu afuate IMAN yako basi sema nae kwa ukarimu, ukimuelewesha na mwishi ataelewa tu na kuamua kukufuata ama kuendelea na ile yake ya zamani.
  19. Cha Moto

    Utabiri: 2016 USA Presidential Elections Hillary Clinton Vs Governor Chris Christie

    Niliwahi kusikia kuwa huyu Mama Clinton, kwa sasa hataki kuendelea na siasa, hivyo baada ya uchaguzi ataachia nafasi yake kwa mtu mwingine. Tukumbuke kuwa Al Gore ameanza kurudi kimya kimya, anaweza akasimama tena 2016
Back
Top Bottom