Search results

  1. MAGAMBA MATATU

    Makonda kuwa Waziri kwenye Wizara Nyeti 2025 na Mgombea Urais 2030

    Kwanza nawasalimu kwa jina la Jamhuri, pili nawasalimu kwa jina la CCM, tatu karibu sana brother, nakutana mara tatu Makonda, Makonda, Makonda, nchi ili kosa mtu mwenye neno lenye maamuzi, na zaidi Mkoa wa Dar ulipoa sana. Narudia, karibu sana Lumumba head office bro. Kuna wakati inatakiwa uwe...
  2. MAGAMBA MATATU

    Makonda kuwa waziri kwenye wizara nyeti 2025 na mgombea urais 2030, na kuwa the Next Magu

    Kwanza Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri, Pili Nawasalimu Kwa jina la CCM , Tatu karibu sana Brother, nakutaja mara tatu Makonda, Makonda, Makonda. Nchi ilikosa mtu mwenye neno lenye maamzi,na Zaid Mkoa wa Dar ilipoa sanaaaa,, Narudia karibu sana Lumumba head office bro. Kuna wakat inatakiwa uwe...
  3. MAGAMBA MATATU

    Kati ya mahindi na alizeti kilimo kipi kinalipa?

    Kaka acha akili mgando,,sio kila anayelima ajitangaze kwenye tv umuone ndoo ujue kilimo kinalipa,kama hujui kulima kaa kimya na wala usiongee uongo kuhusu kilimo,,watu wanalima tena sana na wanapiga pesa sana wewe unakalia vijiweni kila siku na hiyo smart phone yako unategea mada za jamii forum...
  4. MAGAMBA MATATU

    Rais Samia amemteua Brigedia Jenerali Yohana Ochalla Mabongo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC)

    Mleta mada kabla ya kuleta Mada za kijeshi kwanza uwe na uhakika na utafiti kwa kile unachokileta,,Jeshi ni taasisi nyeti ambayo kama hauko makin unaweza lisha watu matango pori,, Kwa ufupi huwezi kuwa polisi aina ya OCS ukarukishwa kuwa mkuu wa RPC. Kwa ufafanuzi mara zote ,vyeo vya jeshi vya...
  5. MAGAMBA MATATU

    Ni Rais au Spika? Mmoja lazima achomoke

    Tayari mmoja kachomoka kwa influence ya wanachama ili kupata popurality ya Rais,,na lazima tu mmoja angechomoka Sasa lijalo linafurahisha,,,tegeni masikio
  6. MAGAMBA MATATU

    Ni Rais au Spika? Mmoja lazima achomoke

    Tanzania kuna mihimili mitatu, 1. Serikali 2. Bunge 3. Mahakama Nchi ya kusadikika bado inazidi kutofautiana yenyewe, ni nchi moja yenye chama kimoja na nchi hii haikutaka kujijengea utawala wa kuambiana ukweli au kukosoana hata kama ni chama kimoja,,hii shida ya kutokosoana kisa tuu watu...
  7. MAGAMBA MATATU

    Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

    Sina upande na sijawahi kuwa upande wowote katika historia ya maisha yangu,,, Ninachoishi ni kile ninachokiona kila mwaka kitokeacho
  8. MAGAMBA MATATU

    Nchi inapoongozwa na aliyeko nyumbani, na aliyeko ofisini hajui cha kufanya

    Nimetafakari sana na kuona kweli 2024 mbali,,,subirin hili fukuto likoke moto kwanza then jibu litakuja kabla ya 2024 tena mapema sanaa,,na nitawapa ukweli nini kitakachojili vzur,, Lakin niwambie ukweli ,,kama mama angeendelea na system ya Magu hiyo ndio ingembeba na hiyo ndio ilikua sahihi...
  9. MAGAMBA MATATU

    Nchi inapoongozwa na aliyeko nyumbani, na aliyeko ofisini hajui cha kufanya

    Nilipokuwa shule nilisoma kitabu kimoja kinaitwa NCHI YA KUSADIKIKA Nilijitahidi sana kukisoma kile kitabu lakini sikuwahi kukielewa vizur kilikua na maana gani, na nilijitahidi sana kukisoma ili baadae niweze kutumia maudhui yake katika kujibu moja ya swali la mtihani ambalo ningekutana nalo...
  10. MAGAMBA MATATU

    TV4Sale Full HD brand new 32Inch TV kwa 345,000 Tu(Qled)

    NIMEPUNGUZA BEI YA TOP KWA FLAT TV,,, bei niliyoamua kuuza Cash na top ni 480000/ tv,,kutoka 600k,,hii ni kutokana na kuona changamoto cha watu kuwa na upungufu wa pesa, Natoa tv kama bure,,mwenye mahitaji ya kuwahi ndio atachukua,,maelezo sitaki niyarudie,,soma comments za jana utaona ni tv...
  11. MAGAMBA MATATU

    TV4Sale Full HD brand new 32Inch TV kwa 345,000 Tu(Qled)

    Tatzo watu wengi mnapenda biashara yenye maneno neno ambayo mengi ni ya uongo,,umepewa details zote tangu mwanzo wa tangazo na ukaambiwa imetumika miezi kadhaa,,bado unarudia BADO MPYA AU IMETUMIKA SASA UAMBIWEJE,,na unaambiwa mpya laki nane,bado hauelewi na kibaya zaid unaambiwa nenda kwenye...
  12. MAGAMBA MATATU

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Piga simu 0621047159,,kama ni mnunuzi serious,kama hauko serious endelea kutoa comment
  13. MAGAMBA MATATU

    TV4Sale Full HD brand new 32Inch TV kwa 345,000 Tu(Qled)

    Mpya ambayo haijatumika hata siku moja ipo,,750 Hiyo ya 570 imetumika miezi miwili na nusu
  14. MAGAMBA MATATU

    TV4Sale Full HD brand new 32Inch TV kwa 345,000 Tu(Qled)

    Wewe sio mnunuzi maana ya biashara unawekewa mtandaoni ili kujua uhitaj wa wateja,,then unapewa contact,,sasa ww umepewa contact uwasiliane ili upewe maelezo yote unabaki unapiga siasa mtandaoni
  15. MAGAMBA MATATU

    TV4Sale Full HD brand new 32Inch TV kwa 345,000 Tu(Qled)

    Nitumie text ya kawaida,,hiyo namba niliyoweka haiko whatsap
  16. MAGAMBA MATATU

    TV4Sale Full HD brand new 32Inch TV kwa 345,000 Tu(Qled)

    Mpyaaaaa,,nitumie namba yako ya whatsap kwenye hiyo namba yangu nikutumie picha na video,,ni mtu ana shida tuu ndo maana inauzwa,,lakin dukan ni laki 8
  17. MAGAMBA MATATU

    TV4Sale Full HD brand new 32Inch TV kwa 345,000 Tu(Qled)

    Ninayo Sundar inch 43,full HD,smart tv,double screen,,ina Hotspot na Manicast, bei nzur 570000 tu,, kabisa bado mpyaaaa,,pia kuna dish na decoder ya Azam bei sawa na bure 110000 Mawasiliano na maelezo zaidi piga 0621047159
  18. MAGAMBA MATATU

    Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

    Vuguvugu si unaliona,,kuna jambo Na taswira inaanzia alipoteuliwa Makamba Jr kuwa waziri wa Nishati,, Subir yajayo sio mazur,,ogopa sana viongozi wanafiki,,japo Pole pole wanajifanya hawamuelewi lakin yeye ndio mkweli kati ya wote
  19. MAGAMBA MATATU

    Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

    Mama kateleza sana,,na sikumtegemea angeweza kuingizwa mkenge kiasi kile,,maana ndo kwanza ameanza kutimiza majukumu ya mwenzake aliyeondoka,na hata mwaka hajamaliza wamemuingiza mkenge na yeye kaingia na katamka mapema wakat miaka bado minne mbele,,ana kazi kubwa sana japo yeye haioni,,Siasa ni...
Back
Top Bottom