Search results

  1. E

    Butiku: Ningejua CCM itaingilia mchakato wa Katiba nisingeshiriki

    hakuna kujiuzulu, mzee Butiku apambane hadi mwisho kitapoeleweka, ndio ayavue manyanga. Akiondoka kwasasa sisi hao, tutasema ameshindwa kupambana na changamoto. Ukweli humuweka mtu HURU.
  2. E

    Mtatizo haya ya udini nchini yanasababishwa na mambo haya tu!

    Udini umehamia mashuleni, Hadi za msingi, siku ya kipindi cha dini, mtu mzima anaeitwa Mwl WA dini, anawafundisha watoto namna dini nyingine walivo makafiri, waalimu wengine huzunguka nje ya darasa kulindi asisogee Mwl WA dini nyingine, akisogea tuu! Mzozo na kumfukuza, watoto wanaanza hivi...
  3. E

    CHADEMA wahurumieni watanzania

    Unajua kama huna la kusema kwa heshma yako, hata kama majina yetu mengi si halisi, tafadhari acha kupost na kuchangia hoja usizo na uhakika nazo.
  4. E

    Maneno ya Mbowe kuhusu maadili na nidhamu

    Maadili ni kama kingo za mto na binadamu ni kama mto, unaweza kufikiri madhara ya mto unapofurika na kingo zake kuharibika, au uhai wa mto pasipo kingo, nidhahiri kabisa hautokuwa na mwelekeo maalum, kwahiyo maadili yanatuelekeza sehemu tunapotaka kwenda na yanatukinga dhidi ya uharibifu...
  5. E

    naomba mnisaidie kujua tabia za wanaume wa kigoma(waha)

    Kwanza wanapenda kuitunza familia kwa chakula . Pili hawako wazi kumshirikisha mke mipango ya maendeleo Tatu wanaalika bila aibu ndugu zao kwa wingi bila aibu hata kama ndoa imefungwa Jana tu, Nne wanapenda kuzaa mpaka yai la mwisho liishe. Tano, wanapenda kuvaa nguo mpya wakati WA sikukuu...
  6. E

    Bendera ya taifa inafanya nini kwenye jengo la ibada?

    Bado halijapatikana kibu sahihi! Mtu aheshimiwe kwa swali lake, asitolewe upepo kiasi hicho. Hata mie ningependa kufahamu zaidi, najua wapo na wengine wengi. Pamoja na hayo! Kuna bendera za mataifa mbalimbali maeneo tofauti Tofauti yakiwemo ya ibada. Ufafanuzi p/s!? Sent from my BlackBerry 8520...
  7. E

    Rushwa ya NGONO yamponza mfanyakazi wa kike

    Maisha ya kutojiamini, njia za mkato Mara nyingi ni ndeffuuuu sana! Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  8. E

    Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

    Edward L. Ngoyayi ni chaguo sahihi kwa ccm kama hakuna mizengwe, 1. Ni jasiri 2. Anathubutu kuamua jambo kwa manufaa ya wengi. 3. Aliwakoromea waarabu kuhusu Maji ya mto Nile 4. Aliuvunja mkataba hovyo WA kampuni ya Maji Dar ( nimesahau jina la kampuni) 5. Utajiri alionao jumlisha umri wake...
  9. E

    Tatizo la Kuvimba Miguu: Chanzo, Ushauri, dawa na tahadhari (pamoja na wajawazito)

    Ma Dr WA humu JF naomba msaada kwa anae fahamu hili tatizo na ufumbuzi wake. Asanteni. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  10. E

    Redio imani: Tcu imewekwa kudhoofisha uislamu

    Ungeweka kiuwazi zaidi, ili tuweze kutoa mawazo yetu, pamoja hilo, hicho kituo cha radio hakiwezi kuonywa au kufungiwa ila mwanahalisi ni rahisi. Uchochezi huo ni HATARI sana. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  11. E

    Msaada namna ya kuunga google earth kwenye blackberry curve

    Napenda kuitumia huduma hii, lakini nimeshindwa maranyingi namna ya kuipata, pamoja na juhudi zangu za kila Mara, bila mafanikio. Kwa unaye fahamu Nisaidie tafadhari. Asante. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  12. E

    Naomba msaada wa ushauri, nini tatizo la kuwashwa mlango wa haja kubwa?

    Nashukuru kwa ushauri, nilishauriwa kutumia UNUsual, pakapoa kidogho, lakini sasa naona hali imeanza tena! Mie Niko mbali na hospital ya Taifa Muhimbili, Niko mikoani, kuhusu dawa za minyoo nimetumia sana, sa sijui shida ni ipi mpaka sasa! Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  13. E

    Kwa NEC hii mpya, CCM inakwenda kufa - Dr. Slaa

    Acha kupiga mayowe, mkuu tupo kupanga safu Ya ushindi, Dr Slaa ongeza vikosi na tupige mbizi zaidi kuibukia 2015. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  14. E

    Ni upi wimbo wako wa siku?

    Zunguka zunguka,*8 wema WA Mungu umenizungukaa eeeee!! Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  15. E

    Maandamano ya wanahabari Sept 11, 2012

    Sauti yenu inaweza kuleta mabadiliko kidogho! Maana bila maandamano hakuna kumshtua BABA Riz 1. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  16. E

    CHADEMA UK Wamchangia Mjane Wa DAUDI Mwangosi Aliyeuawa Nyololo shs 1,000,000

    Waungwana mmefanya VEMA! Ila tunavoifahamu UK na ninyi mlioko, kiwango hicho ni mchango WA kata moja ya vijiji vya ndaani sana! Ongezeni kidogo kwa heshima ya mwangosi. SS tutafuata! Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  17. E

    Prof. Mwandosya aichana Polisi

    Tunamheshimu sana Prof mwandosya na Jk anajua kua ndio chambo ya Kuwa tamanisha wana Mby. Cdm inaonyesha njia. Bavicha msiogope endeleeni na wajibu wenu. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  18. E

    Karani wa sensa...

    Pole yao, lakini hao wapemba kwani huwaga wanafanya nini majumbani kwao? Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  19. E

    Msaada wa Kisheria: Kwa Tukio Hili Mwajiri Anapaswa Kulipa Fidia Gani kwa Mjane?

    Vipi mmefika ofisi za Bima hapo mkoani kwake aliko mjane ambako ilitokea ajari? Na huyo mwenye loli la mchanga lililosababisha ajari mmewasiliana? Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  20. E

    Naomba msaada wa ushauri, nini tatizo la kuwashwa mlango wa haja kubwa?

    Naomba ushauri, mlango wa haja kubwa unaniwasha Mara kwa Mara sijui dawa yake ni nini? Nimetibiwa sana za minyoo, na fungus lakini wapi!! Msaada jamani. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Back
Top Bottom