Search results

  1. Secret Star

    Andrew Nyerere: Ukimpa mtoto peremende hakikisha anamsifu na kumshukuru Mungu

    Uzi Umegeuka Moto, na wasiwasi Aliyesema umekimbia kakimbia yeye.
  2. Secret Star

    Andrew Nyerere: Ukimpa mtoto peremende hakikisha anamsifu na kumshukuru Mungu

    Hujajibu swali! Sijauliza kuhusu uwepo wa Mungu hapa, nakuuliza ikiwa wewe unadai unaona, na unafahamu rangi ya Blue, Tuambie hiyo rangi ikoje ili tuamini kama kweli unaiona. Huwezi Kutuambia Mungu unamuona ikiwa hata rangi inayodai unaiona huwezi kuielezea tukakuelewa. Isije kuwa na wewe...
  3. Secret Star

    Andrew Nyerere: Ukimpa mtoto peremende hakikisha anamsifu na kumshukuru Mungu

    @Rabbon: Ikiwa wewe unaamini sisi tusioamini hayo mambo yako ni Vipofu. na wewe unaona. Hebu Tuambie Rangi ya Blue Ikoje, Ili tuamini kama kweli unaiona.
  4. Secret Star

    Anatafutwa mtu mwenye uwezo wa kusoma na kuelewa Kingereza.

    ASANTENI AMESHAPATIKANA Habari tunatafuta mtu mwenye uwezo wa kusoma vizuri kingereza kukielewa. Awe na umri katika ya miaka 18 hadi 25. awe maeneo ya dar es salam. kwa kuanza mshahqra ni Laki Mbili na mshahara utaongezeka kutokana na ufanisi wake kazini.
  5. Secret Star

    Madan Kadyrov: Atakayemkabidhisha Askari wa Ukraine alieivunjia heshima Qur-an kuzawadiwa $168,000

    Binadamu wanalinda Kitabu kitakatibu cha Mungu?! Kwanini asikilinde Mungu
  6. Secret Star

    Kwa mara ya kwanza Putin hatahutubia taifa kwenye mwisho wa mwaka

    Manabii walishatabiri bado utekelezwaji tuu hehehe
  7. Secret Star

    Mwalimu wa tution kanikatisha tamaa

    Kichwa tofari hadi ticha kakimbia fedha hiyo hatari kabisa
  8. Secret Star

    Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

    Nani asiejua hilo kuwa kiswahili kina kiarabu ndani?Nimekuuliza Hoja ni ipi hapo ikiwa kiswahili kina kiarabu?Swali langu ni ”hoja ni ipi”
  9. Secret Star

    Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

    Hoja hapa ni nini ikiwa kiswahili kina mchanganyiko wa Kiarabu? Neno Ustaarab lingekuwa ni neno la kingereza nadhani ndiyo ingekuwa hoja ya kuleta changamoto. ni sawa na kushangaa watu ndani ya Dunia.
  10. Secret Star

    Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

    Mambo mengine kwa Mtu mzima kama wewe hata hutakiwi kutetea kwa kulinda misimamo yako ya kidini. “Wrong is Wrong” Popote Unapofanyika ujinga kwa hali yoyote unatakiwa kukemewa bila kujali lolote. Ili limefanywa na muhindi mchina mwarabu mzungu au vyovyote vile. Tuache kuvaa miwani ya mbao ni...
  11. Secret Star

    Serikali zote duniani hazitaki watu wajue ukweli

    Haya ni majibu yanayofanana na kweli ila ni uongo. Maneno ya aina hii huwa ni silaha ya tatu kwa mwisho kwa watu ambao wanataka kujua ukweli. Bada ya maneno haya huja vitisho, baada ya hapa huja kifo.
  12. Secret Star

    Allah ni zaidi ya sayansi, watu wawili umeokolewa baada ya siku 13

    Mtu alierogwa na uchawi wa kiarabu hawezi kukuelewa bro bora unyamaze
  13. Secret Star

    Allah ni zaidi ya sayansi, watu wawili umeokolewa baada ya siku 13

    Aisee ukiamini dini unatakiwa ujifanye chizi, ili uweze kuitetea.
  14. Secret Star

    Allah ni zaidi ya sayansi, watu wawili umeokolewa baada ya siku 13

    bora wewe unaquestion kwa ubongo wako hukurupuki
Back
Top Bottom